Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

Kabisa, ndiyo maana ukipata nafasi ya kuwamaliza wachawi bora ufanye hivyo

Kwa maana wakikuwahi wao, wanaweza kukuharibia kesho yako wewe hadi na Watoto zako

Take them to hell
https://jamii.app/JFUserGuide the wizards
 
Sasa mkuu wewe utasemaje mtu hana tatizo la akili kama huna taaluma husika? au unayo?

Na hayo mambo ya uchawi mbona waafrika tunayashikilia sana wakati hayaleti maendeleo?
Uchawi sio swala la mwafrika Mkuu, ukitaka kujua hilo Tanzania tuna sheria ya kudhibiti uchawi iliyoletwa na mkoloni hata kabla ya kuzaliwa Baba wa taifa na mpaka leo ipo na inafanya kazi.

Uchawi ni dunia nzima hadi huko Vatican kuna papa aliyewahi kutoa tamko rasmi la kumtambua.paka kama mnyama wa kichawi na popote atakapoonekana auliwe, utasemaje uchawi ni fikra za mwafrika?

Uchawi upo omba usikukute.
 
Back
Top Bottom