Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu wewe utasemaje mtu hana tatizo la akili kama huna taaluma husika? au unayo?Yule mwamba sio afya ya akili wala nini ule ni mzigo kabisa. Afya gani ya akili tiba ni bangili ukiivua tu unatoroka!. Mtu anatembea umbali wa labda tuseme Tegeta hadi Mkuranga Mji kwa dakika chache tu. Tena yuko peku hana viatu na hatoki jasho hupo fit anawashangaa tu mliomfuata na kumrudisha shule.
Hii nimeishuhudia mwenyewe kipindi niko shule sasa huo ni ugonjwa gani wa akili?. Na jamaa alikuwa mtu mpole sana bwenini na ni kipanga kweli kweli.
Ha ha ha.Sipend hayo mambo kujiunganisha nayo
Wenzetu mambo ya Uchawi 'Halloween" wanatengeneza mabilioni.Sasa mkuu wewe utasemaje mtu hana tatizo la akili kama huna taaluma husika? au unayo?
Na hayo mambo ya uchawi mbona waafrika tunayashikilia sana wakati hayaleti maendeleo?
Hata mimi nimemuonea huruma LIKUD kwa jibu alilopewa.Mbona Ndiyo/Hapana ni fupi kuliko hiyo sentensi uliyoiandika! Mwachiluwi
Hii niliwah iona hupo primary,jamaa alilia sana,ulikuwa mtihani wa darasa la nneKuna mshkaji mmoja tulikuwa tunasoma nae.. alikuwa kichwa balaa yule jamaa ila ikifika kwenye paper alikuwa haoni kitu..
Nimekuelewa! Huwa inatokea hata kwanguSawa najua ilo ila kuna maswali mengine ni kufedhehesha yeye alivyo niuliza ivyo anajua mm nimetafisr vipi?
Kwa namna alivyo ask nikama dharua ua kejeli angeuliza in good way ninge mjibu vzr mm sio mgovi au ushasikia na ugomv na mtuNimekuelewa! Huwa inatokea hata kwangu
Wewe ni graduate?
Usikute hata yeye hakuuliza kwa dharau ila jinsi ulivyotafsiri.Kwa namna alivyo ask nikama dharua ua kejeli angeuliza in good way ninge mjibu vzr mm sio mgovi au ushasikia na ugomv na mtu
Mnafikiri kila tatizo kwenye hii dunia hutatuliwa na physics, biology, chemistry?..kukariri kwenu newtons laws of motion kumewaharibu sanaWameenda hospital hawajaona tatizo?
Sawa nalifanyia kazi namuomba radhiUsikute hata yeye hakuuliza kwa dharau ila jinsi ulivyotafsiri.
Wewe sio mgomvi
Kuna wachawi wa rais hapo ikuluGraduate anaamini uchawi. Elimu haijamkomboa
Kuna wachawi wa rais hapo ikulu
We umezaliwa 2010 unajua nini zaidi ya definition ya chemistry!Tanzania matatizo ya afya ya akili yanaonekana ni uchawi.
Hakuna elimu ya afya ya akili.
Hakuna wataalam, na tiba toshelevu ya afya ya akili.
Kama unabisha muulize mtu yeyote magonjwa matatu tu ya akili uone...
Hii ni changamoto kubwa.
Tunaamini uchawi tu, hadithi za kutungwa ambazo hazina tija yeyote. Mwishoni mtu akishindwa kabisa kusaidika atatengwa kwa visingizio vya laana na mikosi.