Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #61
TuwasameheHata humu yapo, furaha zao ni kuharibia wenye haki.
Yanapataga faida gani haya macenge ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TuwasameheHata humu yapo, furaha zao ni kuharibia wenye haki.
Yanapataga faida gani haya macenge ?
Ndiyo maana baadhi wakishatoka Kijijini kwao, huwa hawarudi kuogopa hayo mamboMbaya sana mkuu watu msiage icho ndich nilicho jua
Usije kurogwa kusamehe mchawi, Mganga, Mshirikina, Msoma Nyota na wenzao Tiba asilia.Tuwasamehe
Basi nije kukuoa mimiHapana 😂
Watu wabaya sanNdiyo maana baadhi wakishatoka Kijijini kwao, huwa hawarudi kuogopa hayo mambo
Kuna boss mmoja wa kiwanda cha beer cha TBL alifariki mwaka Fulani
Yaani tangu atoke Kijijini ilipita miaka 33 hivi, ndiyo kuletwa akiwa amefariki
Watu wanaogopa hayo hayo mambo ya kuumizana kishirikina
AhahahUsije kurogwa kusamehe mchawi, Mganga, Mshirikina, Msoma Nyota na wenzao Tiba asilia.
Wawahishe wakasamehewe na Mungu huko.
Msamaha pekee ni wait kuacha Ujinga wao.
Walinijaribu lakini viliwarudia.How?
Tanzania matatizo ya afya ya akili yanaonekana ni uchawi.Haya mambo huwa magumu sana, advance nakumbuka tulisoma na jamaa mmoja alikuwa kichwa ila karibu na mitihani alikuwa anapotea kabisa ataenda kukutwa umbali wa karibu kilomita 60 huko.
Nakumbuka Advance, NECTA yule jamaa hakufanya paper moja na bado alitoka na Div. 2. Hiyo siku ya paper alitoka asubuhi sisi tunajiandaa ghafla dakika za kuhesabu haonekani, ile kutoa taarifa mwalimu mmoja akatoa piki piki yake wakaanza mfuatilia kumtafuta. Ogopa kitu kama saa moja tu jamaa walimkuta kashavuka wilaya nyingine anatembea peku peku kilomita kama 70 hivi na hatoki jasho hata.
Ile kitu nilikua nashangaa sana. Na stori ni hizo hizo huko kwao wanamchezea
We kuna kitu ushawai kukubaliTanzania matatizo ya afya ya akili yanaonekana ni uchawi.
Hakuna elimu ya afya ya akili.
Hakuna wataalam, na tiba toshelevu ya afya ya akili.
Kama unabisha muulize mtu yeyote magonjwa matatu tu ya akili uone...
Hii ni changamoto kubwa.
Tunaamini uchawi tu, hadithi za kutungwa ambazo hazina tija yeyote. Mwishoni mtu akishindwa kabisa kusaidika atatengwa kwa visingizio vya laana na mikosi.
Mimi sio mfuata mkumbo, nina fikra huru.We kuna kitu ushawai kukubali
Mbona Ndiyo/Hapana ni fupi kuliko hiyo sentensi uliyoiandika! MwachiluwiUnataka kujau kuhusu mimi itakusaidia nini?
Mama flani, nisamehe. KWA NINI ANATAKA MSAMAHA WAKO?. Pengine anakuhisi kuwa umeishafanya yako kwa mtoto wakeNi mtihani sana, Kuna mama mwanae anasoma na mwanangu darasa la tano sasa ule urafiki wao ukapelekea sisi wazazi kufahamiana.
Ikatokea watoto wetu wamegombana wenyewe huko shule tukawapatanisha lakini nikaona kama yule mzazi hakua karibu nami kama mwanzo (dhana ni mbaya)
Wiki iliyopita yule mama akanipigia mama flani nisamehe sijakutafuta muda mrefu nimepata mtihani toka tar 20/12 mtoto kaamka ghafla hasikii ameshazunguka hospital kubwa hapa dar lkn ndio imekua hvyo mtoto amepoteza usikivu
Yule mwamba sio afya ya akili wala nini ule ni mzigo kabisa. Afya gani ya akili tiba ni bangili ukiivua tu unatoroka!. Mtu anatembea umbali wa labda tuseme Tegeta hadi Mkuranga Mji kwa dakika chache tu. Tena yuko peku hana viatu na hatoki jasho hupo fit anawashangaa tu mliomfuata na kumrudisha shule.Tanzania matatizo ya afya ya akili yanaonekana ni uchawi.
Hakuna elimu ya afya ya akili.
Hakuna wataalam, na tiba toshelevu ya afya ya akili.
Kama unabisha muulize mtu yeyote magonjwa matatu tu ya akili uone...
Hii ni changamoto kubwa.
Tunaamini uchawi tu, hadithi za kutungwa ambazo hazina tija yeyote. Mwishoni mtu akishindwa kabisa kusaidika atatengwa kwa visingizio vya laana na mikosi.
SubhanallahMama flani, nisamehe. KWA NINI ANATAKA MSAMAHA WAKO?. Pengine anakuhisi kuwa umeishafanya yako kwa mtoto wake
Inasikitisha sanaNdo washaamini karogwa sasa, hospitali atapelekwa kama ushahidi tu.
Hizi imani hizi aisee
SijakataaMimi sio mfuata mkumbo, nina fikra huru.
Ahahah ajikite kwenye madaMbona Ndiyo/Hapana ni fupi kuliko hiyo sentensi uliyoiandika! Mwachiluwi
Ukuwaza iloSubhanallah
Sijui kwa kweli ,mimi nimechukulia kwa ukimya wake na mwanza tulipanga baada ya watoto kumaliza Ile mitihan ya taiga ya dar la nne mwanae angekuja kwangu kama anavokuja huwa