Kijana Je, unajua namna ya kumundaa Mwanamke?

Kijana Je, unajua namna ya kumundaa Mwanamke?

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Nimekuwa na mashaka mengi kwa namna ninavyopata malalamiko mbalimbali toka kwa vijana katika kipengele cha mahusiano.

Kutokana na kukosekana kwa mafunzo ya JANDO na UNYAGO nimeona nina dhima kama mzazi kutoa Elimu kwa vijana katika kipengele cha mahusiano.

Kwa sababu shuleni Elimu hii pamoja na ya Afya ya uzazi haipatikani.

Kwa kuwa kwenye nyumba za ibada wanaona soni kuzungumzia hali hii.

Ingawa baadhi ya wazazi huzungumza wakiwa wamelewa hivyo kutokuwa na uzito katika suala husika,
Hata hivyo wazee wenzangu nitawasihi kama kuna point ambazo mnaweza kuziweka wazi hapa kwa ajili ya kuwasaidia hawa jamaa.

kila kukicha kilio cha vijana ni kile kile hofu za kutokuwa na nguvu za kiume na mambo kama hayo,
Kutokuwa na uhakika kama wamridhisha mwanamke ama la...ambapo hali hii hupelekea dharau toka kwa wanawake

IMANI YANGU KWA MWANAMKE ANAYEKUNJWA BARABARA NA KUPELEKEWA MOTO KISAWASAWA kamwe hana ujasiri wa kumdharau mwanaume lazima atamtizama ki pekee na suala la msingi ni kumfikisha kileleni mpaka fahamu kumpotea na kuteremsha lile futa zito lile linalofanana na makamasi.

Na by the way maradhi mengi ya wanawake wa sasa hutokana na kukosekana kwa wanaume wanaoweza kuwatoa uchafu huo mwilini ambapo hupelekea maumivu ya TUMBO,MGONGO,KANSA YA MATITI na hata BIPOLAR.
N.B.

BIPOLAR is a mental illness that causes unusual shifts in a person's mood, energy, activity levels, and concentration. These shifts can make it difficult to carry out day-to-day tasks.....yaani ni aina ya maradhi husika kwa mwanamke katika hali yake na nguvu katika kufanya shughuli zake pamoja na umakini katika mambo yake...mara nyingine anaweza kuwa na hasira bila sababu au akawa anacheka cheka bila sababu pamoja na GUBU....n.k
 
Nimekuwa na mashaka mengi kwa namna ninavyopata malalamiko mbalimbali toka kwa vijana katika kipengele cha mahusiano.
Kutokana na kukosekana kwa mafunzo ya JANDO na UNYAGO nimeona nina dhima kama mzazi kutoa Elimu kwa vijana katika kipengele cha mahusiano.
Kwa sababu shuleni Elimu hii pamoja na ya Afya ya uzazi haipatikani.
Kwa kuwa kwenye nyumba za ibada wanaona soni kuzungumzia hali hii.
Ingawa baadhi ya wazazi huzungumza wakiwa wamelewa hivyo kutokuwa na uzito katika suala husika,
Hata hivyo wazee wenzangu nitawasihi kama kuna point ambazo mnaweza kuziweka wazi hapa kwa ajili ya kuwasaidia hawa jamaa.
kila kukicha kilio cha vijana ni kile kile hofu za kutokuwa na nguvu za kiume na mambo kama hayo,
Kutokuwa na uhakika kama wamridhisha mwanamke ama la...ambapo hali hii hupelekea dharau toka kwa wanawake,
IMANI YANGU KWA MWANAMKE ANAYEKUNJWA BARABARA NA KUPELEKEWA MOTO KISAWASAWA kamwe hana ujasiri wa kumdharau mwanaume........lazima atamtizama ki pekee.....na suala la msingi ni kumfikisha kileleni mpaka fahamu kumpotea na kuteremsha lile futa zito lile linalofanana na makamasi,,,
Na by the way maradhi mengi ya wanawake wa sasa hutokana na kukosekana kwa wanaume wanaoweza kuwatoa uchafu huo mwilini ambapo hupelekea maumivu ya TUMBO,MGONGO,KANSA YA MATITI na hata BIPOLAR.
Mkuu andika kwa kuweka aya.
 
Asubuhi na mapema kabisa na jua ndio linaanza kuchomoza, tunaanza na elimu ngono

1000012500.gif
 
Umebananisha, vijana unaowasema wanamsongo wa mawazo hawana ajira na mambo hayaendi, hebu tuwaze kwanza namna ya kuwasaidia kutoka kwenye hilo, wanawake wapo na katika hilo wawe wanajiandaa wenyewe wasisubiri kuandaliwa
 
Maelezo meeengi!

Kucheza na kinembe ndiyo kila kitu.

Angalau kila mwanaume akiweza zoezi la kinembe / clitoris orgasm + G-spot basi malalamiko yangepungua sana
 
Haya mambo ya kukunjana na kuwashiana moto kisawa sawa yapo kwenye mahusiano kwenye ndoa kuna kufanya tendo la ndoa na kupata watoto baasi.
Mleta mada hujaoa ndio maana bado una hayo mawazo
 
Mwanamke wa nyakati hizi haridhishwi na kumuandaa muda mrefuuuu au kumpelekea moto muda mrefuuuu, umepitwa na wakati wewe, nyakati hizi wewe kuwa na fedha za kutosha, mtunze na kumlea mwanamke kwa kila kitu, awe na uhakika wa fedha na wewe ni milionea hata kama sio bilionea, hapo mwanamke atakojoa kila mara ukikutana nae, kama ni mkeo utaona jinsi unapendwa, kama ni mchumba wako utaona jinsi hata goli moja tu anakojoa utashangaa..!!!

Why? Mapenzi ya nyakati hizi ni fedha za kutosha mwanaume uwe nazo, kisha mlee na kumtunza vema huyo mwanamke, uone jinsi utapendwa na atakavyo ridhika hutaamini, achana na mambo ya unyago sijui nini, hizo ni primitive age love style..!! We are in digital and AI age..!! Bby wako anakwambia naomba laki 5 nimtumie mama yake anaumwa sana alafu mwanaume huna au unaanza kuleta habari za unyago? Acheni ujinga, wanaume tafuteni fedha mtunze wanawake zenu, then love is automatic from there..!!
 
Back
Top Bottom