Kijana jifunze kutambua nyakati 4 muhimu katka mahusiano

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
900
Reaction score
971
Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing

Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time

Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma ulifanye ndani mda sahihi hapa namaanisha (time)
Kwahyo majaribu kuhusianisha maneno haya jinsi yanvyo fuatana katika utendaji
Neno timing na time

Hapa nakuja kweny mada kuu niliyoikusudia;

Katika vipindi kunanyakati nne kama kijana ni lazma uzielewe

1. wrong action at a wrong time;

hii ni kwamba unaweza kufanya jambo lisilo sahihi katika muda husio sahihi. Mfn.kiJana unataka kuoa ukiwa chuo Kwa kutegemea hela ya boom ambalo halikizi mahitaji then mwanamke ulienaye ni Binti ambaye ujana wake bado hajaumaliza anapenda kuishi kifahari,asipitwe na fashion mpya,kiufup anapenda kuendana na wakati ikiwa wew bado hufikia kipato Cha gharama kias Iko

2.wrong action at a right time;
Kufanya jambo lisilo sahihi katika wakat sahihi
Pia katika maisha ila nitabase kweny mahusiano lengo likiwa kuelimishana .
Hapa kijana umri umefika wa kuoa na unajiona kabisa unauwezo wa kufix mahitaji ya familia Yako bila tatzo ila changamoto unatafuta mwanamke mwenye malengo na tamaa kuzidi uwezo wako na kipato chako na mtu asiye itambua ipi nafasi yake ya maisha,upendo,kipato n.k

3.right action at a wrong time;
Kufanya jambo sahihi Kwa wakati usio sahihi hapa kijana unampend mtu ambaye wakati wa kuwa na wew bado huenda anaona huajipata au hatakutesa sababu bado hajaamua kuwa na wewe daima kweny moyo wake au sababu hamuendani kinamna Fulani ivi n.k

4.right action at a right time;
KufAnya jambo sahihi Kwa wakati sahihi hapa vijana wengi ndyo hatupajui ila IPO hivi muda wa moyo kumpenda mtu anakuwa umefika na yeye moyo wake unakuwa tayari kukupokea Kwa namna yeyeto Ile iwe Kwa ugali dagaa,ugali chumvi,maharage,mtalala chini mtakaa kweny mkeka kiufupi mnavumilia Kwa yote na mengi na mioyo yenu inakuwa na wepesi wa kusameheyana kujaliana kweny shida na tabu

Lengo langu ni kijana hujitambue una uwe na mtazamo wa kipekee usihishie kulaumu jua tuu ulifanya jambo gani katika wakat gani iyo itakupa nafasi ya kuanza upya na kutokuamini kweny maumivu ambayo hayakuwa sahihi kwako

Asante sana happy Valentine's day
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom