MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Najua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema.
Kwa Mtanzania jitahidi ujue kifaransa ili uweze kuwasiliana na wateja wa nchi zinazoongea kifaransa kama DRC na Burundi. Ukiweza jifunze na kichina.
Kimsingi faida za kujua lugha ni nyingi. Bahati nzuri siku hizi waweza jifunza mwenyewe mtandaoni. Kuna Apps kibaao za kujifunzia. Kuna hii inaitwa Duolingo ni nzuri. Kila la heri waungwana.