Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat!!!!!!!Non Problemme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat!!!!!!!Non Problemme
Una au huna?
Comment ca va?Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat!!!!!!!
Comme ci, comme çaComment ca va?
Hongera sana.Tayari mimi hii wiki ya kwanza nimeamza lugha ya Pili
😂😂 yule mbunge musukuma wa la 7 tu ila anaendesha gari la kuagiza 0 kilometre na ana mpunga hatari, aisee no formula.Tafuta pesa bana acha
Mbambamba
nmekua nikifuatilia mahojiano meng sana ya watu mashuhuri duniani na weng wao hanajua lugha moja tu walozaliwa nayo au waliko tokea
Ukiwa mtu muhimu au mtu mwenye mafanikio lugha huwa haina maana wala haisaidii kitu
CR7
Messy
Neymar
Raisi ya india
Raisi wa china
Duhkingereza tu wanafundishwa for more than 10 years na hawaelewi sembuse izo lugha nyingine?
talking from little experience, wabongo tumejifungia sana nchini mwetu, unaeza kwenda vacation/business trip nchi za watu usikutane na mbongo hata mmoja hotelini au mtaani zaidi utakutana na wakenya, wanaija, wazulu, washona, wakongomani, wasomalia, waganda, wanyarwanda.
najua uchumi ni tatizo but wake up guys, come on. try
kuwa najua kingereza then najifunza kifaransa. Natumia Youtube na Duolingo. Nimekosa mtu wa kupractise naye. Lakini bado najipa muda niweze kushika misamiati mingi na miundo kadhaa/ grammar.Hongera sana.
Ulianza na lugha ipi na unafata ipi, pia unatumia njia gani kujifunza?
Hii post yako imetokana.na nini?Kuna umri ukifika kama huna kazi maalumu ya kukuingizia kipato basi jua utasumbua sana.
Vijana wa jf mifano munaiona humu humu kupitia mada mbali mbali unajua kabisa huyu mtu hali yake ya uchumi ipoje.
Chukueni kama mifano anza pambana pambana pambana..
Vijana tafuteni kazi umri unatuacha wewe ndio baba wa baadae.
Sio kufanya kazi tu fanya kazi ya kuvuja jasho
Unatupa mifano ya watu wasiozidi 100 vs watu 8bln dunia nzima? TukufateTafuta pesa bana acha
Mbambamba
nmekua nikifuatilia mahojiano meng sana ya watu mashuhuri duniani na weng wao hanajua lugha moja tu walozaliwa nayo au waliko tokea
Ukiwa mtu muhimu au mtu mwenye mafanikio lugha huwa haina maana wala haisaidii kitu
CR7
Messy
Neymar
Raisi ya india
Raisi wa china
Beacoup merciComme ci, comme ça
Nashukuru sana.kuwa najua kingereza then najifunza kifaransa. Natumia Youtube na Duolingo. Nimekosa mtu wa kupractise naye. Lakini bado najipa muda niweze kushika misamiati mingi na miundo kadhaa/ grammar.
Wewe unajifunza lugha gani?Nashukuru sana.
Nipo pia napambana na hizi lugha, tatizo nimekuwa mvivu sana na pia kuwa na watu wa kufanya nao mazoezi ni muhimu mno.
Kila la heri Mkuu.
Wako wangapi akina msukuma? Mpaka iwe funzo kwa wengine?😂😂 yule mbunge musukuma wa la 7 tu ila anaendesha gari la kuagiza 0 kilometre na ana mpunga hatari, aisee no formula.
WellNi kushauri vijana wenzangu watafute kazu
Naendelea kujiimarisha kwenye Kiingereza huku nikijifunza Kifaransa na Kispanishi.Wewe unajifunza lugha gani?
Wengi sana matajiri wafanyabiashara karibia wote hawajasoma kina Kishimba, madon wa migodi, ata wachina wakija huku si unaona wanatumia wakalimani which means ukiwa na hela utaeleweka tu unachotaka kusemaWako wangapi akina msukuma? Mpaka iwe funzo kwa wengine?