MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ni ngumuNajua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema.
Kwa Mtanzania jitahidi ujue kifaransa ili uweze kuwasiliana na wateja wa nchi zinazoongea kifaransa kama DRC na Burundi. Ukiweza jifunze na kichina.
Kimsingi faida za kujua lugha ni nyingi. Bahati nzuri siku hizi waweza jifunza mwenyewe mtandaoni. Kuna Apps kibaao za kujifunzia. Kuna hii inaitwa Duolingo ni nzuri. Kila la heri waungwana.
Tayari mimi hii wiki ya kwanza nimeamza lugha ya PiliNajua sisi wabongo ni wazito mno kujifunza lugha za watu zaidi ya kiswahili na kiingereza ila niwahimize vijana kujitahidi kujua kiingereza na lugha nyingine moja ya kimataifa. Kwa mfanyabiashara/mjasiriamali makini lazima atajua umuhimu wa hiki ninachokisema.
Kwa Mtanzania jitahidi ujue kifaransa ili uweze kuwasiliana na wateja wa nchi zinazoongea kifaransa kama DRC na Burundi. Ukiweza jifunze na kichina.
Kimsingi faida za kujua lugha ni nyingi. Bahati nzuri siku hizi waweza jifunza mwenyewe mtandaoni. Kuna Apps kibaao za kujifunzia. Kuna hii inaitwa Duolingo ni nzuri. Kila la heri waungwana.
Uzuri wa Lugha bwana sio lazima uende DarasaniLugha tutazijua tu, ngoja vita vikianza tutakuwa na muingiliano wa kutosha utajua kila lugha.
Umewahi kufika Burundi, au DRC?
Kule unaweza kuta mtoto anaongea lugha saba na hana elimu yoyote ya lugha ya darasani.
Non ProblemmeNi ngumu
Hata DRC kwa sasa wanapambana sana kujua kiingereza. Wazambia naona wanapambana kujua kiswahili. Sisi tupo tu halafu wanasiasa wetu ndo wanataka kutumaliza kabisa kwa kusema kiswahili kiwe lugha ya kufundishia hadi chuo kikuuLugha tutazijua tu, ngoja vita vikianza tutakuwa na muingiliano wa kutosha utajua kila lugha.
Umewahi kufika Burundi, au DRC?
Kule unaweza kuta mtoto anaongea lugha saba na hana elimu yoyote ya lugha ya darasani.
Tumevimbiwa amani.kingereza tu wanafundishwa for more than 10 years na hawaelewi sembuse izo lugha nyingine?
talking from little experience, wabongo tumejifungia sana nchini mwetu, unaeza kwenda vacation/business trip nchi za watu usikutane na mbongo hata mmoja hotelini au mtaani zaidi utakutana na wakenya, wanaija, wazulu, washona, wakongomani, wasomalia, waganda, wanyarwanda.
najua uchumi ni tatizo but wake up guys, come on. try
Download app ya Duolingo ujifunzeKumbe nianze darasa sasa
Ok bossDownload app ya Duolingo ujifunze
Mkuu Likud hii haina uhusiano wowote na St Kayumba wala EMs. Hii ni kwa yeyote.Yamekuwa hayo tena
Una au huna?We ishi una muda mrefu hapa duniani ,acha kupoteza muda .