Dei Gratia Rex
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 423
- 696
CR mtoe kwenye hiyo list, anaongea lugha nne, kireno, kiingereza, kihispania na kiitalianoTafuta pesa bana acha
Mbambamba
nmekua nikifuatilia mahojiano meng sana ya watu mashuhuri duniani na weng wao hanajua lugha moja tu walozaliwa nayo au waliko tokea
Ukiwa mtu muhimu au mtu mwenye mafanikio lugha huwa haina maana wala haisaidii kitu
CR7
Messy
Neymar
Raisi ya india
Raisi wa china
Tuko pamoja kwenye hii safari. Mimi najifunza kifaransa kwa wivu mkubwa.kuwa najua kingereza then najifunza kifaransa. Natumia Youtube na Duolingo. Nimekosa mtu wa kupractise naye. Lakini bado najipa muda niweze kushika misamiati mingi na miundo kadhaa/ grammar.
Maskini mnajipaga moyo kwa mifano ya kijinga.Wengi sana matajiri wafanyabiashara karibia wote hawajasoma kina Kishimba, madon wa migodi, ata wachina wakija huku si unaona wanatumia wakalimani which means ukiwa na hela utaeleweka tu unachotaka kusema
Asante sana Mkuu....umenitia moyo. Umeanza lini?Tuko pamoja kwenye hii safari. Mimi najifunza kifaransa kwa wivu mkubwa.
Mfano wa mtu mmoja au watu 10 anataka utumke nchi nzimaMaskini mnajipaga moyo kwa mifano ya kijinga.
Nipo kwa Ras Lion huku nami nalisongesha ngeli zipande...Tayari mimi hii wiki ya kwanza nimeamza lugha ya Pili
Mdogo mdogo si habaNipo kwa Ras Lion huku nami nalisongesha ngeli zipande...
Wewe pia ni tajiri? Kama sio wao wamekuzidi wapi?Wengi sana matajiri wafanyabiashara karibia wote hawajasoma kina Kishimba, madon wa migodi, ata wachina wakija huku si unaona wanatumia wakalimani which means ukiwa na hela utaeleweka tu unachotaka kusema
Wewe unatosha ukiweza kwenda, acha masimango.kingereza tu wanafundishwa for more than 10 years na hawaelewi sembuse izo lugha nyingine?
talking from little experience, wabongo tumejifungia sana nchini mwetu, unaeza kwenda vacation/business trip nchi za watu usikutane na mbongo hata mmoja hotelini au mtaani zaidi utakutana na wakenya, wanaija, wazulu, washona, wakongomani, wasomalia, waganda, wanyarwanda.
najua uchumi ni tatizo but wake up guys, come on. try
Ca va bien.Comment ca va?
Je ne' comprehend rien. Je suis d'etudierCa va bien.
Vous parlez francais?
Its an added advantage wont lie but not a necessity tajiri.Maskini mnajipaga moyo kwa mifano ya kijinga.
Acha maswali ya kitoto na na ki wakiWewe pia ni tajiri? Kama sio wao wamekuzidi wapi?
December 2024Asante sana Mkuu....umenitia moyo. Umeanza lini?
Basi tuliza kinyeo.Its an added advantage wont lie but not a necessity tajiri.
Acha maswali ya kitoto na na ki waki
Dubai na Qatar kumefurika wakenya na waganda.kingereza tu wanafundishwa for more than 10 years na hawaelewi sembuse izo lugha nyingine?
talking from little experience, wabongo tumejifungia sana nchini mwetu, unaeza kwenda vacation/business trip nchi za watu usikutane na mbongo hata mmoja hotelini au mtaani zaidi utakutana na wakenya, wanaija, wazulu, washona, wakongomani, wasomalia, waganda, wanyarwanda.
najua uchumi ni tatizo but wake up guys, come on. try
Imetokana na kupiga kwake visungura.Hii post yako imetokana.na nini?
🤣🤣🤣Imetokana na kupiga kwake visungura.