whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Dah, mi nina 30 na sitamani tena mwanamke. Kila mfupa unauma.We jamaa uko serious kweli Mimi Nina 53 nategemea kustaafu kwa hiari in the next two yrs we unasema 40 sio ya kufanya mapenzi.Wataalam wanasema ukifikisha miaka 41+ Libido inaongezeka.angalia sana life style ktk ujana wako na ndio hiyo itaamua uzee wako unakuwa je!
Mkeo ana umri gani?Aisee Mimi Nina miaka 53 imetokea mwaka Jana nikiwa na 53 nikapata mtoto watu wengi wamenishangaa sana lakini kiikweli Niko vzr kama kijana tu kwa mambo hayo na namshukuru Mungu.Changamoto itakuja labda kwenye malezi.He unadhani asilimia kubwa ya vijana wa sawa hivi wakifikia umri wangu wayayaweza hayo?...Na mtoto amechangamka kweli na namuona ana utambuzi kwa kiwango cha juu.Nampenda na kumtunza mfano lishe nzur ! Unga wa mbegu za maboga n.k.
Usikubali kufa kizembe kwani umeshapewa taadhari.Lakini wote tutazikwa chini
Kuna kuzikwa kishujaa na kikapuku!!Lakini wote tutazikwa chini
KWAMBA watz tunapenda ngono na umbea sio!?Ila Mkuu bila kupiga miti Bora kufa tu
Badili I'd yako kwanza kuwa "Malaika wa nuru" halafu msongo wa mawazo utaisha!!Nimeanza utaratibu wa kunywa maji robo lita ninapoamka, pia nina utaratibu wa kutumia asali na kula matunda kwa ajiri ya kuboresha afya yangu
Kinachonitatiza ni mawazo yananifanya niwe na kilo chini ya 50 japo najaribu kuyapunguza
Kwanza mleta mada una hoja lakini sio kwa vitisho hivoo. Lyatonga Ali pata kisukari 1980 na kaoa mara mbili tena Sasa hivi mama mkali na mdogo.
Vijana wengi wadogo lakini pumzi hawana.
Maisha sio ngono wala kulalana wengine wakishatosheka na idadi ya watoto basi ngono sio priority yaani mara moja kwa mwezi. Lowasa is still alive.
Finally LIFE BELONGS TO THE LORD.
Kwanza mleta mada una hoja lakini sio kwa vitisho hivoo. Lyatonga Ali pata kisukari 1980 na kaoa mara mbili tena Sasa hivi mama mkali na mdogo.
Vijana wengi wadogo lakini pumzi hawana.
Maisha sio ngono wala kulalana wengine wakishatosheka na idadi ya watoto basi ngono sio priority yaani mara moja kwa mwezi. Lowasa is still alive.
Finally LIFE BELONGS TO THE LORD.
Ni your eating habits na lifestyle mkuu
Mkuu hakika hujawahi kufanya mambo kwa kubahatisha !
ulaji wa hovyo ni hatari kwa afya zetu, tunakula sana 'wali' na kujiona wajanja wa mjini kumbe ni hatari.
Yes of course. What the hell do you want???Are you a human being?
Mkuu tatizo kupima tezi dume wanaingiza dole tigoni. Fikiria unaenda muhimbili kupima halafu mangi na mmatumbi mwenzako ndo anakuingizia dole na anakufaham. Yani bora kufa tu kiume na iyo tezi kuliko dume lenzako kuchomeka dole.Tubadili lifestyle zetu kwa kufanya mazoezi na kupunguza ngono na kupima saratani ya tezi dume mara kwa mara.
π€£π ππππMiaka 40 ni ya kula bata sio kufanya mapenzi
Mkuu Mbona umeumia sana wewe ni mhanga?π€Yeah! Andiko limekosa mantiki baada ya kubainisha kuwa lengo la kutunza afya ni ili usipungukiwe nguvu za kiume.
Waafrika tunakuza sana hii ishu ya nguvu za kiume kana kwamba maisha kwa ujumla wake maana yake ni nguvu za kiume! NONSENSE!
ROBERT HERIEL, wewe ni kijana mdogo sana, naweza kutabiri uko kwenye 20's, na ndio maana umri uliotaja wa miaka 40 unauona ni mkubwa kiasi cha kuutabiria magonjwa..
Miaka 40 ni umri mdogo sana, mimi nimeshaupita na bado naonekana mdogo,.. Sina hizo dalili za visukari sijui na vitu gani ulivyosema...
Nimeelezea hayo kwa sababu wewe unadhani mimi sijapata upeo wa kuchambua ulichokiandika..., ngoja nirudi kwenye mada..
Ulichokiandika kina uhalisia fulani, ulichoharibu tu ni kuweka msisitizo kwenye nguvu za kiume na kuchapiwa, hayo ni mawazo ya watoto wadogo, wanaowaza ''kusimamia kucha" ili usichapiwe.. Ukishafika umri wa utu uzima kama wangu, mambo hayo utayaona ni IRRELEVANT!