Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

We jamaa uko serious kweli Mimi Nina 53 nategemea kustaafu kwa hiari in the next two yrs we unasema 40 sio ya kufanya mapenzi.Wataalam wanasema ukifikisha miaka 41+ Libido inaongezeka.angalia sana life style ktk ujana wako na ndio hiyo itaamua uzee wako unakuwa je!
Dah, mi nina 30 na sitamani tena mwanamke. Kila mfupa unauma.
 
Aisee Mimi Nina miaka 53 imetokea mwaka Jana nikiwa na 53 nikapata mtoto watu wengi wamenishangaa sana lakini kiikweli Niko vzr kama kijana tu kwa mambo hayo na namshukuru Mungu.Changamoto itakuja labda kwenye malezi.He unadhani asilimia kubwa ya vijana wa sawa hivi wakifikia umri wangu wayayaweza hayo?...Na mtoto amechangamka kweli na namuona ana utambuzi kwa kiwango cha juu.Nampenda na kumtunza mfano lishe nzur ! Unga wa mbegu za maboga n.k.
Mkeo ana umri gani?
 
Kwanza mleta mada una hoja lakini sio kwa vitisho hivoo. Lyatonga Ali pata kisukari 1980 na kaoa mara mbili tena Sasa hivi mama mkali na mdogo.
Vijana wengi wadogo lakini pumzi hawana.
Maisha sio ngono wala kulalana wengine wakishatosheka na idadi ya watoto basi ngono sio priority yaani mara moja kwa mwezi. Lowasa is still alive.

Finally LIFE BELONGS TO THE LORD.
 
Nimeanza utaratibu wa kunywa maji robo lita ninapoamka, pia nina utaratibu wa kutumia asali na kula matunda kwa ajiri ya kuboresha afya yangu
Kinachonitatiza ni mawazo yananifanya niwe na kilo chini ya 50 japo najaribu kuyapunguza
Badili I'd yako kwanza kuwa "Malaika wa nuru" halafu msongo wa mawazo utaisha!!
 
Kwanza mleta mada una hoja lakini sio kwa vitisho hivoo. Lyatonga Ali pata kisukari 1980 na kaoa mara mbili tena Sasa hivi mama mkali na mdogo.
Vijana wengi wadogo lakini pumzi hawana.
Maisha sio ngono wala kulalana wengine wakishatosheka na idadi ya watoto basi ngono sio priority yaani mara moja kwa mwezi. Lowasa is still alive.

Finally LIFE BELONGS TO THE LORD.

Maisha bila ngono hayafai, acheni kuaminisha watu vitu vya hovyo au kujiliwaza kwenye mapungufu yenu, ukiona hauchezi mechi, muhimu utafute wapi umekosea, mimi nina 45+ na nacheza sana hizo mechi maana nilisharekebisha maeneo mengi kwenye maisha yangu, hamna kitu kitamu duniani kama making love to your lover.
 
Kwanza mleta mada una hoja lakini sio kwa vitisho hivoo. Lyatonga Ali pata kisukari 1980 na kaoa mara mbili tena Sasa hivi mama mkali na mdogo.
Vijana wengi wadogo lakini pumzi hawana.
Maisha sio ngono wala kulalana wengine wakishatosheka na idadi ya watoto basi ngono sio priority yaani mara moja kwa mwezi. Lowasa is still alive.

Finally LIFE BELONGS TO THE LORD.

😊😊😊
Ngono sio priority 🤣🤣 labda sio priority kwako lakini utakayemuoa atakuwa kama wewe?
Tendo la ndoa ni tendo la muda mfupi lakini ni nyeti na lalazima kwenye familia.
 
Mkuu hakika hujawahi kufanya mambo kwa kubahatisha !

ulaji wa hovyo ni hatari kwa afya zetu, tunakula sana 'wali' na kujiona wajanja wa mjini kumbe ni hatari.
 
Tubadili lifestyle zetu kwa kufanya mazoezi na kupunguza ngono na kupima saratani ya tezi dume mara kwa mara.
Mkuu tatizo kupima tezi dume wanaingiza dole tigoni. Fikiria unaenda muhimbili kupima halafu mangi na mmatumbi mwenzako ndo anakuingizia dole na anakufaham. Yani bora kufa tu kiume na iyo tezi kuliko dume lenzako kuchomeka dole.

Ndo maana JK alisemaga tu this bullshit akaenda John Hopkins.
 
Yeah! Andiko limekosa mantiki baada ya kubainisha kuwa lengo la kutunza afya ni ili usipungukiwe nguvu za kiume.

Waafrika tunakuza sana hii ishu ya nguvu za kiume kana kwamba maisha kwa ujumla wake maana yake ni nguvu za kiume! NONSENSE!
Mkuu Mbona umeumia sana wewe ni mhanga?🤔
 
ROBERT HERIEL, wewe ni kijana mdogo sana, naweza kutabiri uko kwenye 20's, na ndio maana umri uliotaja wa miaka 40 unauona ni mkubwa kiasi cha kuutabiria magonjwa..

Miaka 40 ni umri mdogo sana, mimi nimeshaupita na bado naonekana mdogo,.. Sina hizo dalili za visukari sijui na vitu gani ulivyosema...

Nimeelezea hayo kwa sababu wewe unadhani mimi sijapata upeo wa kuchambua ulichokiandika..., ngoja nirudi kwenye mada..

Ulichokiandika kina uhalisia fulani, ulichoharibu tu ni kuweka msisitizo kwenye nguvu za kiume na kuchapiwa, hayo ni mawazo ya watoto wadogo, wanaowaza ''kusimamia kucha" ili usichapiwe.. Ukishafika umri wa utu uzima kama wangu, mambo hayo utayaona ni IRRELEVANT!

Kweli mhenga mwenzangu
 
Back
Top Bottom