Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

Kwema Wakuu!

Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu.

Vijana tunapoambiwa tule na tunywe Kwa nidhamu sio Kwa sababu tunaonewa wivu au kuna mtu anataka kuwa juu yetu
Samahani mkuu.

Sasa kama hatupangiani maisha, mbona uandike waraka wa tatu wa paulo ni kama unaandikia wagalatia?

Naulizia mtu lakini, mimi kama mimi, nimekuelewa.
 
Unaweza kuchapiwa tu hata kama unafanya yote hayo
Kuchapiwa sio ajabu Kaka, usiombe ukawa na upungufu wa nguvu za kiume ukiwa kwenye 40's, mwanamke atachapwa huku akikutukana na kudharau,lakini akichapwa huku Una nguvu za kiume atakuogopa na kuonyesha heshima
ya kujifichaa
 
Angalizo jingine kwa wanaume:
Mwanamke mwenye umri kuanzia 45 hadi 55 au 60 wenye afya na nguvu wanakuwa na ashiki kubwa sana ya kuingiliwa kimwili.

Sasa ambao wameoa na wake zao hawana stress kwenye umri huo watatoa ushahidi.

Ambao mko njiani kuelekea umri huo, get ready.

Na mwanamke akikoswa kukazwa vizuri, (labda awe mcha Mungu sana).

Atatafuta tuu wa kumkaza, Watch Out...👀.
Your last paragraph say it all therefore I'm watching out.
 
Yesu kaishi miaka 30+ kafa akiwa kamaliza kilichomleta.. akina nyinyi wenye 40+ mnasubiri Nini
 
Yesu kaishi miaka 30+ kafa akiwa kamaliza kilichomleta.. akina nyinyi wenye 40+ mnasubiri Nini
Unri wa kuishi kwa mwanadamu ni 70, ukiwa na nguvu zaidi unaongezewa kidogo. Ukisema 30+ aemshatimiza kusudi la kuwepo duniani naona haupo sawa, imagine kama ana watoto wadogo bado..wataishije bila mzazi!!
 
Wenye 40+ tunasoma huku tunasema inhiiiiiiii! Tunashukuru Mungu hata tukifika sehemu tukitaja umri watu wanabisha, kwamba we still look young and healthy. Vimichepuko ndio havitaki kusikia kuwa tunakaribia umri wa baba zao!
Muhimu sana kujiweka vizuri..
 
Ila mkuu Toa kipengele cha physical excirse

Ukila vzr na mengn kwa wastan inatosha
 
Unri wa kuishi kwa mwanadamu ni 70, ukiwa na nguvu zaidi unaongezewa kidogo. Ukisema 30+ aemshatimiza kusudi la kuwepo duniani naona haupo sawa, imagine kama ana watoto wadogo bado..wataishije bila mzazi!!
Kuna watoto wamepoteza wazaz wakiwa Bado wa changa na Kuna wazazi wameishi Hadi 50+ na walibwaga watoto na hawakujali ... Kuna faida gani ya kuishi miaka yote hiyo.
Uzee Mwema sio mchezo kwa akili za kibinadamu, wazee wengi wamegeuka vituko 😂😂
 
Samahani mkuu.

Sasa kama hatupangiani maisha, mbona uandike waraka wa tatu wa paulo ni kama unaandikia wagalatia?

Naulizia mtu lakini, mimi kama mimi, nimekuelewa.

😂😂
Nimeandika Kwa ajili ya wenye kutaka maarifa na ufahamu Mkuu
 
Ila mkuu Toa kipengele cha physical excirse

Ukila vzr na mengn kwa wastan inatosha

😀😀
Haupendi Mazoezi Mkuu?

Mazoezi yamekuja baada ya kazi nyingi kufanyika bila kutumia nguvu, yaani White Jobs.
Ila Kama kazi zako ni kuvuja jasho mazoezi ya nini?
 
Kila la heri kwenu wenye viwanda vya uchakataji
 
Wakati umri huo 40+ ndio umri wa kufurahia maisha, alafu unakukuta katika hali ngumu ya Afya. Noma Sana. Asikuambie mtu
Noma mzee wa fasihi... una upeo mkubwa sana na vijana tunajisahau wkt faili uzeeni, eti wengine wanajipa moyo kimasiahara eti uzeeni penati zipo 😂😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣So jamaaa sasa hawakamati pisi kali?
Sio masihara kuna jamaa yangu alikua mwingi sanaa,mpaka alijengea pisi moja nyumba Tabata sasa kastaafu bia hagusi anagonga K-Vant ndogo tu napia ina mpelekesha mkewe ana Grocery ana jiachia balaa nikastukia kua tyr sukari "IMO"
 
Dah hatari so watu wanajigegedea. Wacha tupige zoezi aisee maana balaa...ukose starehe ya kugegedana sii maisha hayana maana tena
 
Back
Top Bottom