FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Samahani mkuu.Kwema Wakuu!
Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu.
Vijana tunapoambiwa tule na tunywe Kwa nidhamu sio Kwa sababu tunaonewa wivu au kuna mtu anataka kuwa juu yetu
Sasa kama hatupangiani maisha, mbona uandike waraka wa tatu wa paulo ni kama unaandikia wagalatia?
Naulizia mtu lakini, mimi kama mimi, nimekuelewa.