Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

Umri wako tafadhari
 
Kwanza umeenda mbali sana kusema uwe na marafiki wengine watatu binafsi mim naona hata usipokuwa naoo akizingua haina haja ya kumbembeleza we achana naeee tu kama sio domo zege sio mda utapata mwingne.

Sasa hivi wanawake wanatafuta wanaume kuliko wanaume wanavyotafuta wanawake so chill ma nigga[emoji16][emoji16]

Siku hizii madem ni kama chai tu[emoji16][emoji16]
 

Ni kweli mkuu. Tatizo ukiwa nae mmoja chances za yeye kuzingua au wewe kuwa fala zinaongezeka mara dufu maana akili yako inakua ipo kwake tu, tofauti na ukiwa na options.
 
Ni kweli mkuu. Tatizo ukiwa nae mmoja chances za yeye kuzingua au wewe kuwa fala zinaongezeka mara dufu maana akili yako inakua ipo kwake tu, tofauti na ukiwa na options.
Yah ni kwel kabisa.
 
Na vipi mkuu ukivusha ahadi za kukutana mwisho wa wiki kwa wiki Kama 3 nne hivi,
Maana mbwembwe Ni nyingi Sana.
 
Hapa hatuongelei swala la kutafuta furaha, tunachoongelea ni jinsi ya ku manage relationship na kupunguza msongo wa mawazo na matatizo yanayoepukika. Lakini pia tunaongelea jinsi ya ku maintain rship iweze kudumu muda mrefu bila migogoro.
Bado una utoto mwingi mkuu ukikua utaelewa, hivo vitu huwa vinawazwa na wavulana tu, ila watu matured hawako hivo mzee.
 
But zingatia hili plan (A) huuwawa na plan( B) hapo hakuna ndoa ni zinaa
 
Bado una utoto mwingi mkuu ukikua utaelewa, hivo vitu huwa vinawazwa na wavulana tu, ila watu matured hawako hivo mzee.
Soma vizuri kichwa cha habari mkuu. Ujumbe umeelekezwa kwa vijana. Nyie wazee hauwahusu.
 
Ndio hasa nnachokisisitiza hapa. Hakikisha unakua na marafiki wengine tena ikiwezekana wawe wazuri kuliko mpenzi wako na yeye alijue hilo. Na nikasema ukiweza kuwa unawamega pia ni vizuri itakusaidia kujenga stamina zaidi.
Eeeheee...hii sasa ndio hoja 🙏
 
Huu ushauri na kwa wanawake pia itapendeza
 
Kama kuna ukweli flani ivi kwa asilimia flani ivi
Hakuna ukweli wowote,,ni mawazo mgando tu..

--Hakuna kitu kinaua mapenzi kama mwanamke ajuwe una mahusiano mengine nje..
Na yeye lazima atafute mwanaume nje apigwe..sasa kuna mapenzi hapo?

--katika suala zima la kupenda,,,hata uwe na wanawake 100 lakini kuna mwanamke 1 atasumbuwa sn akili zako.

Muhimu ni kutokuzama mzimz mzima kwa mwanamke.

Mpe moyo wako mwanamke 30% ,,
70% waza mambo mengine.

Utakuja kunishukuru.
 

Umenifurahisha jinsi ambavyo umeanza kwa kupinga, halafu vyote ulivyoeleza vinaunga mkono hoja. 😃

Mwanamke hatakiwi AJUE kama una mahusiano nje, anatakiwa AHISI. Idea hapa ni kumuweka roho juu awe haelewi kama unae au huna! Hii itamfanya mwanamke asibweteke maana anakua hana uhakika kama yuko peke yake ama la. Mwanamke akishakua na uhakika 100% kwamba yupo peke yake, ndipo matatizo yanapoanzia.

Vingine ni kama ulivyosema nakubaliana na wewe kabisa
 
Serious kwenye nini, ndie uliyemuoa?
 
“ Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage”.
Hii point kwa kweli ni added advantage katika uwasilishaji wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…