Kijana Mafanikio ya afya hayahitaji mtaji, jitahidi kufanikiwa kwenye afya

Kijana Mafanikio ya afya hayahitaji mtaji, jitahidi kufanikiwa kwenye afya

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Kukimbia ni Bure
Kupiga pushup ni Bure
Mazoezi ya kukimbia ni Bure.

Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako.

Six pack muhimu
Kifua kikubwa Muhimu
Muonekano wa mazoezi muhimu.

Haya

Tukomae
 
Bwashee saizi wanawake ndo wanafuga vitambi unakuta binti mdogo tu akivaa suruali kitumbo kinatokeza njenje tu wanakuaga wazito kuwakunja hawa
 
mazoezi ni kuutesa mwili
Solution
Kula na kunywa vitu sahihi
Wakati sahihi
Mazingira sahihi n.k
 
Naongezea 👇.

Ili kuepuka magonjwa ya zinaa; kupiga nyeto ni bure.
 
Back
Top Bottom