Kijana: Maisha ya mtaani hayatambui cheti

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini

Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto....
 
Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
 
Familia haina uhusiano na kutoboa kwako bali nini umeifadhi kwenye akili yako
Na cheti hakilipi bills, wakumbusheni hilo.
Ila elimu ni bora kuliko kutokuwa na elimu maana Inakuongezea maarifa flani hata kama utakuwa jobless.Ni sawa cheti hakilipi bills ila msomi ni msomi tu hata akiamua kuiba anaiba kisomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…