Kijana: Maisha ya mtaani hayatambui cheti

Kijana: Maisha ya mtaani hayatambui cheti

Nimekuambia wewe bado coz una fikra za kizamani.Hivi mpaka sasa unaamini kuwa ili uwe na maisha mazuri lazima uwe umesoma chuo kikuu??

Hoja yako ni dhaifu coz sasa hivi kuna population kubwa ya wasomi wa ngazi zote za elimu na hawana maisha mazuri.Umejiuliza kwa nini??

Naona hatuelewani. Nafikiri ninachokiandika kimezidi uwezo wa akili yako
 
Ukitoka katika familia ambayo tayari ishatengeneza njia kutoboa kwako ni rahisi zaidi. Waliotoka kwenye familia masikini population yao kubwa inaishia kuwa fukara maisha yao yote sema tu story za wachache sana wanaofanikiwa kutoboa ndio huwa zinavuma
Kufanikiwa ni brain
 
Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
Kujenga hoja hakukuletei mkate mezani.
 
Nachojua Tanzania kuna wasomi Ila wenye akili wachache

Kufanikiwa ni akili na sio elimu
 
Connection na mazingira wezeshi pia ni sababu zenye uwezekano mkubwa zaidi kukusaidia kufanikiwa. MO asingeweza kuwa tajiri namba moja Tanzania kama asingekua mtoto wa mzee dewji
Hii Kiimani na sio ki sayansi ya mafanikio inatoa equal chance kwa yeyeto kuwa vile atakavyo
 
Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
We nawe unajengaje hoja na huna kitu mfukoni.
 
Cheti ni kiashiria kuwa wewe umepoteza muda wako kwenye kukariri na sio kuelimika. Hivi kuna tajiri aliyekuwa Tanzania One kweli? 😂😂
 
Nachojua Tanzania kuna wasomi Ila wenye akili wachache

Kufanikiwa ni akili na sio elimu
Wasomi wapo mkuu tusiwabeze sema ndio mazingira sio wezeshi. Hivi mhitimu wa udaktari huyu asipopewa ajira unafikiri atafanya nini? unajua gharama ya kufungua dispensary au phamarcy, unajua gharama ya kufanya utafiti wa dawa za kutibu magonjwa? mhitimu ambaye hana kitu mfukoni hawezi kumudu.

Wasomi wapo na wakipewa nafasi wana uwezo wa kufanya mambo makubwa sema elimu waliyopewa kuileta kwenye vitendo anatakiwa aanze kwenye mpango/ofisi ya angalao level ya kati.

Huwezi kumpa msomi wa logistics management mtaji wa laki moja halafu ukamwambia autumie ku-apply elimu yake, atakachoweza kukifanya hapo ni kufanya hizi hizi biashara ndogo ndogo maana akisema akomae na taaluma yake ya logistics iyo hela itaishia kwenye kusajiri jina la biaahara tu
 
Hii Kiimani na sio ki sayansi ya mafanikio inatoa equal chance kwa yeyeto kuwa vile atakavyo
Sio kiimani huo ndio ukweli. Chance ya mtoto wa GSM kufanikiwa kimaisha ni kubwa sana ukilinganisha na chance ya mtoto wako. Achaneni na izo fix za motivational speakers
 
Sio kiimani huo ndio ukweli. Chance ya mtoto wa GSM kufanikiwa kimaisha ni kubwa sana ukilinganisha na chance ya mtoto wako. Achaneni na izo fix za motivational speakers
Bakresa alikuwa mtoto wa nani akawa tajiri,Mengi alikuwa mtoto wa nani akawa tajiri
 
Bakresa alikuwa mtoto wa nani akawa tajiri,Mengi alikuwa mtoto wa nani akawa tajiri
Mkuu case study kama izo zipo na ni adimu sana, kati ya watu 100 anaweza kutoboa mmoja. mimi naongelea uwezekano wa mtu kufanikiwa kulingana na mazingira aliyoyakuta, unajua maana ya uwezekano?

Rudi miaka 30 nyuma halafu chukua kundi la watu walisoma shule za kata na waliosoma pale IST linganisha ni kundi lipi la watu ambao mpaka wanatoboa maisha yalikua tambalale
 
Back
Top Bottom