Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio mwishoUnategemea na famili yako ya aina gani
sidhani kama mtu kuwa na uwezo wakujenga hoja ndio usomi , jambo la msingi ambalo mtoa mada ana kumbushia ni kwamba graduates watambue ya kwamba wanakuja duniani vyeti walivyo ni makaratasi badala yake elimu waliyonayo waibadilishe katika vitendo ili iwe furusa ya kutengeneza mapekeche ,wasisubirie ajira na kubweteka .Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
Very trueUki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini
Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto....
Ataiba wapi bila kuajiriwa? Sijakataa kuwa elimu ni boraIla elimu ni bora kuliko kutokuwa na elimu maana Inakuongezea maarifa flani hata kama utakuwa jobless.Ni sawa cheti hakilipi bills ila msomi ni msomi tu hata akiamua kuiba anaiba kisomi
Kujenga hoja kunaleta mkate mezani?Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
Familia ina mchango wake pia wa wewe kutoboa unataka kuniambia utafutaji wako wew wakat umemaliza chuoa una lingana na mtoto wa waziri mkuu?Familia haina uhusiano na kutoboa kwako bali nini umeifadhi kwenye akili yako
Kusoma ni muhimu sana na tuwapeleke shule watoto kama basic akiwa na elimu ni rahisi kumpa skills za maisha akaelewa fastaIla elimu ni bora kuliko kutokuwa na elimu maana Inakuongezea maarifa flani hata kama utakuwa jobless.Ni sawa cheti hakilipi bills ila msomi ni msomi tu hata akiamua kuiba anaiba kisomi
Hii ya kuchekwa ni mbaya sana , inamuathiri mtu kisaikolojia.Ujifanye msomi ukose hata hela ya vocha uibe tukuchome,au ujichanganye na sisi tukucheke. Mixx by Yas kazi ni kwako.
Kwa nchi za dunia ya tatu sawa.
Ila kwa first world countries ukisoma na kupasua vizuri wewe ushatoboa.
Na kama ulichukua mkopo bodi inakusubiri ikukate haijalishi utakua mlinzi au nani au unapata kipato kiasi gani kikubwa umeajiriwa utakatwa sawa sawa mpaka upate akili na kile kiduchu kinacho baki utagawana na familia yako..Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini
Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto....
Wewe sema sio kweli halafu nenda nchi za watu bila elimu yeyote au nenda nchi za watu usisome wala kujiendeleza kielimu.Sio kweli.. fanya utafiti vizuri.
Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini
Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto....