Kijana: Maisha ya mtaani hayatambui cheti

Tupokeane tu jaman mbna kama notion ya vita automatically kwenye vichwa vyenu
Anyway watanzania ni wamoja naimani hatuko hivo💪🙌
Mawazo yangu inadepend na vitu viwili
1. Uchumi wa nyumban, kuna mtu anasubiriwa tu agraduate lifanyike jambo
2. Aina ya course, nashuka mtaa na degree ya Afya🚑, nikikaa nyumban namaanisha napumzika kwa uchovu mkubwa wa safari yangu
3.(nyongeza) fursa mbalimbali zinazohitaji ABC za elimu na mengneyo

NB; Tusibaguane, ata maandish yang apo hayajabagua mtu nmejaribu tu kuongezea kwenye hoja na muweka uzi japo amejikita sana kwenye vjana wakija mtaan wata zagaa
Naamini as long as ni kijana fursa ziko nying kwa wote n kuchanganya tu akili na juhudi👍
 
Kwa sasa Elimu imekuwa hitaji la lazima kwa binadamu yeyote duniani

Na ikiwa huajapata Elimu inakubidi ukae na waliosoma wakuelekeze baadhi ya mambo Fulani .

Mtaa hautambui Cheti Ila mtaa unatambua maarifa ambayo mtu anayapata kupitia elimu.
 
Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
sidhani kama mtu kuwa na uwezo wakujenga hoja ndio usomi , jambo la msingi ambalo mtoa mada ana kumbushia ni kwamba graduates watambue ya kwamba wanakuja duniani vyeti walivyo ni makaratasi badala yake elimu waliyonayo waibadilishe katika vitendo ili iwe furusa ya kutengeneza mapekeche ,wasisubirie ajira na kubweteka .
 
Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini

Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto....
Very true
 
Ila elimu ni bora kuliko kutokuwa na elimu maana Inakuongezea maarifa flani hata kama utakuwa jobless.Ni sawa cheti hakilipi bills ila msomi ni msomi tu hata akiamua kuiba anaiba kisomi
Kusoma ni muhimu sana na tuwapeleke shule watoto kama basic akiwa na elimu ni rahisi kumpa skills za maisha akaelewa fasta
 
Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini

Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto....
Na kama ulichukua mkopo bodi inakusubiri ikukate haijalishi utakua mlinzi au nani au unapata kipato kiasi gani kikubwa umeajiriwa utakatwa sawa sawa mpaka upate akili na kile kiduchu kinacho baki utagawana na familia yako..


Nb. KUTOKANA NA UKOSEFU WA AJIRA SISHAURI VIJANA WASOMEE MKOPO KAMA WAZAZI HAWANA UWEZO NI HERI AKAJIPAMBANIA HUKU HUKU KITAA
 
Kabisa inabidi wajue na hilo
Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini

Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…