Kijana: Maisha ya mtaani hayatambui cheti

Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
Mleta mada hana muda na mada wala hoja. Ishu hapa ni kipato
 
Cheti ni muhimu pale kinapo badilisha na kua PESA. Tofauti na hapo ni tissue paper.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Aisee Ila Kama haujasoma na yenyewe ni changamoto Sana

Mimi naona Elimu yetu imenisaidia kitu kimoja tu Kuwa na fine tune
Inategemea unataka kuajiriwa au kujiajiri.
Siku hizi uhitaji kukaa darasani labda kama unataka kuajiriwa kama kujiajiri au mishe zako Artificial intelligence shule tosha kwa dakika chache chochote unajifunza kule
 
Kama wasomi wenyewe ndio hawa na wanaongozwa ni waitikiaji basi haina shaka
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
Kujenga hoja .... Kuna kupa kula?
 
Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini

Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu kwenye tanuri la moto....
kweli kabisa
 
Ni kweli kabisa lakini sipingi hili ila nachosema aliyesoma na ambaye hajasoma kuna utofauti hata kama wote hawana kazi.
Wewe kama ni msomi basi unashida kubwa sana.

Huna uwezo wa kuunganisha mada na kuelewa kwa wepesi.Mada inasema A wewe umekaza unasema C

📌Dogo punguza wenge!!!
 
wewe kijana maisha hayahitaji mapumziko,utapumzika kaburini.

Hiyo ajira ya mshahara 500K mpaka 1.5M ni ujinga na itakupumbaza utakuja kushtuka mda umekutupa mkono.

Huo muda unaoupoteza bora ukasome kozi za veta za shortcourse tena ni bure!!!
 
Ni kweli elimu yetu haimuwezeshi muhitimu kukabiliana na changamoto za kimaisha lakini nafikiri tumei-underestimate sana elimu yetu na wasomi wetu kuliko uhalisia.

Mtaani population kubwa zaidi ya ambao hawajasoma ndio wana maisha magumu ukilinganisha na waliosoma. Vilevile waliosoma wanataabika kwa kipindi kifupi tu kabla ya kuliotea goli tofauti na hawa ambao hawajasoma population kubwa zaidi wanaishia kwenye ufukara maisha yao yote.

Nafikiri hii trend ya kuwadharau wasomi kwa kiasi kikubwa inatokana na ukimya wa wasomi waliotoboa. Kuna wasomi wengi wana maisha mazuri lakini hawana kelele tofauti na ambao hawajasoma wakiliotea tu goli wanakua na kelele nyingi sana.

Tuache kudanganya vijana, bado elimu ina mchango mkubwa sana na kuna wasomi wengi wanafanya vizuri kimaisha
 
mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa una kanuni na sheria zake, wasomi wengi wanachelewa sana kuzijua coz wanakuwa wamebanwa kwenye mawazo ya kuta nne(darasa)!
Wasomi wanataka kuleta nadharia za darasani kwenye mtaa! Mbingu na ardhi!
 
Vilevile waliosoma wanataabika kwa kipindi kifupi tu
Bado upo gizani, na umepumbazwa kuhusu vyeti ambavyo huko duniani wameanza kuvikataa! Umejiuliza kwa nini Elon Musk alitoa hii kauli???


Njoo duniani (mtaani) uone vichwa halisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…