Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini
Umemaliza kitu Dr.Kwa sasa Elimu imekuwa hitaji la lazima kwa binadamu yeyote duniani
Na ikiwa huajapata Elimu inakubidi ukae na waliosoma wakuelekeze baadhi ya mambo Fulani .
Mtaa hautambui Cheti Ila mtaa unatambua maarifa ambayo mtu anayapata kupitia elimu.
Sahihi kabisaNi kweli elimu yetu haimuwezeshi muhitimu kukabiliana na changamoto za kimaisha lakini nafikiri tumei-underestimate sana elimu yetu na wasomi wetu kuliko uhalisia.
Mtaani population kubwa zaidi ya ambao hawajasoma ndio wana maisha magumu ukilinganisha na waliosoma. Vilevile waliosoma wanataabika kwa kipindi kifupi tu kabla ya kuliotea goli tofauti na hawa ambao hawajasoma population kubwa zaidi wanaishia kwenye ufukara maisha yao yote.
Nafikiri hii trend ya kuwadharau wasomi kwa kiasi kikubwa inatokana na ukimya wa wasomi waliotoboa. Kuna wasomi wengi wana maisha mazuri lakini hawana kelele tofauti na ambao hawajasoma wakiliotea tu goli wanakua na kelele nyingi sana.
Tuache kudanganya vijana, bado elimu ina mchango mkubwa sana na kuna wasomi wengi wanafanya vizuri kimaish
Punguza hasira mkuu. Kuwa na chuki au wivu dhidi ya aliekuzidi kielimu haitakusaidia chochote. Mimi ni msomi na elimu yangu imenisaidia mambo mengi sana, so far nipo kwenye uelekeo mzuri kwa kipato na maisha kwa ujumla.Bado upo gizani, na umepumbazwa kuhusu vyeti ambavyo huko duniani wameanza kuvikataa! Umejiuliza kwa nini Elon Musk alitoa hii kauli???
Elon Musk says college is 'overrated', four-year degree not key to success
Elon Musk calls college education 'overrated', highlighting how people accumulate debt without practical skills. He stressed that success doesn't require a four-year degree.www.indiatoday.in
Njoo duniani (mtaani) uone vichwa halisi!
Labda hujanielewa. Mtu aliyesoma ikitokea fursa anaweza jenga hoja nzuri zaidi sababu angalau atakuwa na kitu alijifunza kitamsaidia zaidi ndiyo kusudio langu.Kujenga hoja kunaleta mkate mezani?
Elewa mantiki ya mtoa hoja.
hii ndiyo point elimu bado ni muhimuNi kweli elimu yetu haimuwezeshi muhitimu kukabiliana na changamoto za kimaisha lakini nafikiri tumei-underestimate sana elimu yetu na wasomi wetu kuliko uhalisia.
Mtaani population kubwa zaidi ya ambao hawajasoma ndio wana maisha magumu ukilinganisha na waliosoma. Vilevile waliosoma wanataabika kwa kipindi kifupi tu kabla ya kuliotea goli tofauti na hawa ambao hawajasoma population kubwa zaidi wanaishia kwenye ufukara maisha yao yote.
Nafikiri hii trend ya kuwadharau wasomi kwa kiasi kikubwa inatokana na ukimya wa wasomi waliotoboa. Kuna wasomi wengi wana maisha mazuri lakini hawana kelele tofauti na ambao hawajasoma wakiliotea tu goli wanakua na kelele nyingi sana.
Tuache kudanganya vijana, bado elimu ina mchango mkubwa sana na kuna wasomi wengi wanafanya vizuri kimaisha
Kupishana mtazamo ndiyo wivu na chuki?? Elon Musk ana wivu??Umejuaje kama umenizidi kielimu??Kuwa na chuki au wivu dhidi ya aliekuzidi kielimu haitakusaidia chochote
Unavyohisi elimu yako imekusaidia kujitambua??Mimi ni msomi na elimu yangu imenisaidia mambo mengi sana
Mimi ninao wasomi walionizunguka wa shahada moja mpaka tatu halafu wana maisha magumu.katika circle yangu naona population kubwa zaidi ya ambao hawajasoma ndio wenye maisha magumu kuliko waliosoma.
Population ya wasiosoma na waliosoma bado ambao hawajasoma wana maisha duni zaidi ukitaka kujua ilo angalia makazi ya watu wengi wliosoma na ambao hawajasoma. Mfano masaki na tandare utaona kuna utofauti mkubwa sanaKupishana mtazamo ndiyo wivu na chuki?? Elon Musk ana wivu??Umejuaje kama umenizidi kielimu??
Unavyohisi elimu yako imekusaidia kujitambua??
Mimi ninao wasomi walionizunguka wa shahada moja mpaka tatu halafu wana maisha magumu.
Nimekuambia tembea duniani coz bado upo gizani! Halafu unaonekana limbukeni coz kitendo cha kujiita 'mimi msomi' kimeonyesha ushamba na ulimbukeni.
Ndiyo maana nimekuambia tembea coz hakuna elimu nzuri kama kutembea! Unaona mpaka sasa unaamini Tandale hakuna wasomi na ndiyo maana ni masikini!wliosoma na ambao hawajasoma. Mfano masaki na tandare utaona kuna utofauti mkubwa sana
Nini ambacho hauelewi kijana? Tatizo mnawakandia wasomi kwa kufanya rejea ya majobless na matendo ya wanasiasa(mfano Lipumba, Kabudi n.k) lakini wapo wasomi wanaofanya makubwa sema tu hawasikiki kwa sababu hawana makelele. Embu niambie Max Mello angekua std 7 angeweza kuwa founder wa jf ambayo inatukutanisha mimi na wewe?Ndiyo maana nimekuambia tembea coz hakuna elimu nzuri kama kutembea! Unaona mpaka sasa unaamini Tandale hakuna wasomi na ndiyo maana ni masikini!
Halafu Masaki ni wasomi na ndiyo maana ni matajiri!
Yaani kwako sehemu yenye wasomi ndiyo kuna matajiri!Yaani ukipata shahada ya kwanza na kuendelea basi una asilimia kubwa ya kuwa tajiri!
Hivi yule founder na mmiliki wa WCB ana elimu gani?? Ametokea wapi?? Halafu acha kujivunia elimu ya bongo utafikiri kama hatuifahamu!Embu niambie Max Mello angekua std 7 angeweza kuwa founder wa jf ambayo inatukutanisha mimi na wewe?
Dah.! Mzee baba tunaelewana kweli? Unajua maana ya population? Population maana yake idadi ya watu wote(sijui kwa neno moja la kiswahili inaitwaje) Mimi najenga hoja kwa kuangalia population ya jamii nzima, wewe unaongelea mtu mmoja mmoja. Haiwezekani kufika hitimisho la kitakwimu kuwa na sample ya mtu mmoja.Hivi yule founder na mmiliki wa WCB ana elimu gani?? Ametokea wapi?? Halafu acha kujivunia elimu ya bongo utafikiri kama hatuifahamu!
Huyo founder wa jamii forum unaifahamu elimu yake vizuri??
Na waliotoka familia masikini wakatoboa jeSio kweli
Ukitoka katika familia ambayo tayari ishatengeneza njia kutoboa kwako ni rahisi zaidi. Waliotoka kwenye familia masikini population yao kubwa inaishia kuwa fukara maisha yao yote sema tu story za wachache sana wanaofanikiwa kutoboa ndio huwa zinavumaNa waliotoka familia masikini wakatoboa je
Embu niambie Max Mello angekua std 7
Mimi najenga hoja kwa kuangalia population ya jamii nzima
Nimekuambia wewe bado coz una fikra za kizamani.Hivi mpaka sasa unaamini kuwa ili uwe na maisha mazuri lazima uwe umesoma chuo kikuu??sasa tuchukue population ya walioishia olevel na walisoma mpaka degree, ni upande upi una watu wengi walio-settle kimaisha na upande upi una watu wengi wanaotaabika kimaisha