Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Naona hatuelewani. Nafikiri ninachokiandika kimezidi uwezo wa akili yakoNimekuambia wewe bado coz una fikra za kizamani.Hivi mpaka sasa unaamini kuwa ili uwe na maisha mazuri lazima uwe umesoma chuo kikuu??
Hoja yako ni dhaifu coz sasa hivi kuna population kubwa ya wasomi wa ngazi zote za elimu na hawana maisha mazuri.Umejiuliza kwa nini??
Harris joins calls for nondegree pathways
The vice president’s remarks at a recent rally reflect a broader conversation, in the Democratic Party and nationally, about who needs a degree and why.www.insidehighered.com
Kufanikiwa ni brainUkitoka katika familia ambayo tayari ishatengeneza njia kutoboa kwako ni rahisi zaidi. Waliotoka kwenye familia masikini population yao kubwa inaishia kuwa fukara maisha yao yote sema tu story za wachache sana wanaofanikiwa kutoboa ndio huwa zinavuma
Connection na mazingira wezeshi pia ni sababu zenye uwezekano mkubwa zaidi kukusaidia kufanikiwa. MO asingeweza kuwa tajiri namba moja Tanzania kama asingekua mtoto wa mzee dewjiKufanikiwa ni brain
Nahisi wewe unasumbuliwa na:Nafikiri ninachokiandika kimezidi uwezo wa akili yako
Kujenga hoja hakukuletei mkate mezani.Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
Hii Kiimani na sio ki sayansi ya mafanikio inatoa equal chance kwa yeyeto kuwa vile atakavyoConnection na mazingira wezeshi pia ni sababu zenye uwezekano mkubwa zaidi kukusaidia kufanikiwa. MO asingeweza kuwa tajiri namba moja Tanzania kama asingekua mtoto wa mzee dewji
We nawe unajengaje hoja na huna kitu mfukoni.Mimi kidogo natofautiana na wewe. Mtaani ni kweli vijana ni wengi hakuna ajira isipokuwa kunautofauti kati ya msomi na ambaye hajasoma. Angalia linapotokea jambo lolote namna uchangiaji wa mawazo au namna ya kujenga hoja.
Wasomi wapo mkuu tusiwabeze sema ndio mazingira sio wezeshi. Hivi mhitimu wa udaktari huyu asipopewa ajira unafikiri atafanya nini? unajua gharama ya kufungua dispensary au phamarcy, unajua gharama ya kufanya utafiti wa dawa za kutibu magonjwa? mhitimu ambaye hana kitu mfukoni hawezi kumudu.Nachojua Tanzania kuna wasomi Ila wenye akili wachache
Kufanikiwa ni akili na sio elimu
Sio kiimani huo ndio ukweli. Chance ya mtoto wa GSM kufanikiwa kimaisha ni kubwa sana ukilinganisha na chance ya mtoto wako. Achaneni na izo fix za motivational speakersHii Kiimani na sio ki sayansi ya mafanikio inatoa equal chance kwa yeyeto kuwa vile atakavyo
Bakresa alikuwa mtoto wa nani akawa tajiri,Mengi alikuwa mtoto wa nani akawa tajiriSio kiimani huo ndio ukweli. Chance ya mtoto wa GSM kufanikiwa kimaisha ni kubwa sana ukilinganisha na chance ya mtoto wako. Achaneni na izo fix za motivational speakers
Mkuu case study kama izo zipo na ni adimu sana, kati ya watu 100 anaweza kutoboa mmoja. mimi naongelea uwezekano wa mtu kufanikiwa kulingana na mazingira aliyoyakuta, unajua maana ya uwezekano?Bakresa alikuwa mtoto wa nani akawa tajiri,Mengi alikuwa mtoto wa nani akawa tajiri