Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Mdogo kama kweli huwa unakula mishangazi halafu unavimba humu hiyo sifa nzuri, kwanini unajisifia kwa kufanya mambo ambayo hayakupi faida wala kukuongezea chochote?

Ukila unakula mishangazi yaani unakuwa makombo aisee, sijawahi wala kufikiria na hiyo mitego nishaikwepa sana aisee. Siwezi andika humu lakini hata sio sifa aisee.
Kelsea mshauri mdogo wetu huenda akakusikia na kubadirika
Mambo ya mapenzi ni ngumu sana kumshauri mtu. Nina imani anafanya hayo akiwa na akili zake timamu labda anaweza badilika huko mbeleni akihitaji kuoa.
 
Mambo ya mapenzi ni ngumu sana kumshauri mtu. Nina imani anafanya hayo akiwa na akili zake timamu labda anaweza badilika huko mbeleni akihitaji kuoa.
Dogo anatuendesha sana aisee hawa efumbulinism ni machachari sana 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom