Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Mimi binafsi kwa bahati mbaya nilianzaga mapenzi na wanawake wakubwa kwangu. Nakumbuka mpaka namaliza chuo sidhani kama niliwahi kutembea na mwanamke mdogo kwangu. Tena nilikua napenda ile mizigo haswaa ya kwenda. Nakumbuka nikiwa form 4 tayari nilikua na mahusiano na mke wa mtu tena almanusura siku moja tufumaniwe.

Sasa baadae nilipochoka kula mizigo ndio nikasema hebu nijaribu na hivi vitoto nione. Lahaulaaa...! Hapo ndio nikagundua kumbe nimepoteza muda wangu mwingi sana laiti ningejua ningekomaa na vitoto from day 1. Ndio mpaka leo mimi sio kwamba mashangazi sitafuni, ila ni itokee tu.. lakini kipaumbele kikubwa kwa sasa ni 18 - 23 hapo.
Itokee tu kwa sauti ya Shehe kipozeo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaweza tu kufanya assessment ya wale uliowahi kupita nao, kwa nyie mliowekana na wadada wengi unaweza kabisa kupata % ya wale waliofika vs wale hawakufika.

Ni kweli % kubwa hawafiki, sijui wanafurahiaje ila ni hawafiki. Mwanamke anayefika wala hutaki kuuliza coz unaona live.
Wanafurahia to serve a man! Sometimes sex is meaningful when a man enjoys!

β€œChombo cha starehe thing”!
 
Wanafurahia to serve a man! Sometimes sex is meaningful when a man enjoys!

β€œChombo cha starehe thing”!
Really?
Kiukweli having a thing na mtu huoni akifika it's a turn off. Ila kama anafurahia kumfurahisha mwanaume sio mbaya. Tatizo lingine tunaogopa asipofika anaweza kupata mtu akamfikisha na historia yenu ikaishia hapo.
 
Unaweza tu kufanya assessment ya wale uliowahi kupita nao, kwa nyie mliowekana na wadada wengi unaweza kabisa kupata % ya wale waliofika vs wale hawakufika.

Ni kweli % kubwa hawafiki, sijui wanafurahiaje ila ni hawafiki. Mwanamke anayefika wala hutaki kuuliza coz unaona live.
Wanasema ambao hawafiki sio kwamba hawaenjoy kabisa, ila tu hawaenjoy to the maximum. Yaani ni kama kuna mahali enjoyment inagomea hawaendi mpaka mwisho. Na wengi wanakua hata hawajui kufika kileleni kupoje so wanaridhika na hicho wanachopata.

Hawa ndio wale ukikutana nae sasa ukamfikisha anawehuka mazima.
 
Mkuu,
Kwani wewe una umri gani?

Binafsi najua wadada below 30 hawatoshi kwenye love making, yaani wanajua kwichikwichi ile kukata mauno en the like, lakini katika ishu ya mapenzi hawajui, hawaijui miili yao vizuri, most of them hata kibohehe hawajawahi kufika. Ndio maana binafsi siwezi kudate na watu wa aina hiyo, naamini mdada 32+ hivi anaweza kuwa na utam wa kutosha.
Samahani kubohehe ndo nn??
Asante
 
Hivi unajua tofauti kati ya sex na love making ndugu!

By the way wanawake wengi huwa hawajawahi kukojoa. Kipimo cha kukojoa ni wivu. Mwanamke ambaye hajawahi kukojoa huwa hana wivu ila akikojoa tu, wivu ni balaa! Ndiyo maana tamaduni za mitala, wanawake walikuwa wanakeketwa. Mwanamke ambaye hayupo katika influence ya kitu kama ulevi etc mpaka akojoe lazima awe amekupenda
Pia niongezee hapa inasemekana whitedent ni mmbadala wa Mkongo.
Asante.😁
 
Kama una video yangu nikila yule dogodogo wa mbagala we vujisha tu ila tuambie kwanza kwanini wewe unakula mama zako wadogo??
Vishu kwanza tatuma picha zako ambazo yule mdada alikupiga ukiwa umelala dadek...

Vishu nina siri zako nyingi sana mpaka screenshot za sms ukiwa unatongoza mwanafunzi mkuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kuna kitu ujui tu..

Ila kuna siku na wewe ukijikuta ushaingizwa kwa system utajutra wewe
Mdogo kama kweli huwa unakula mishangazi halafu unavimba humu hiyo sifa nzuri, kwanini unajisifia kwa kufanya mambo ambayo hayakupi faida wala kukuongezea chochote?

Ukila unakula mishangazi yaani unakuwa makombo aisee, sijawahi wala kufikiria na hiyo mitego nishaikwepa sana aisee. Siwezi andika humu lakini hata sio sifa aisee.
Kelsea mshauri mdogo wetu huenda akakusikia na kubadirika
 
Mkuu hata nikijisifia mi sio kama kuna gain au loss...

Kingine mbona mambo yangu yanaenda sana tuu..
Mkuu mambo yanaendelea kila day na alhamdullilaah sijapata maambukizi maana hicho ndo cha kuhofia
 
Hapa kwangu kuna nyumba mishangazi inatuharibia watoto wetu.
Vijana wakichungulia tu ni kama madawa ya kulevya.
Mijimama haitaki wanaume saizi zao wanahangaika na vitoto vidogo.
 
Back
Top Bottom