Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Kwakweli ni kujidhalilisha sana. Tupaze sauti tuokoe hawa wadogo zetu
 
Mishangazi haina utamu wowote ni propaganda tuu. Mwanamke ametumika miaka zaidi ya 20 huo utamu anautoa wapi?
Kuna vijana hawana njaa Ila kwa wanawake 35+ huwaambii kitu

Nadhani kuna wengine sio sex tu Ila hata akili ya wanawake wa age hizo imetulia. Wanajua wanachokitaka tofauti na hao 18-22 uliowataja ambao kwa kiasi kikubwa bado wanahangaika na mji

Kingine mkuu, kuna watu wengi wanasema pweza ni mtamu kupitiliza Ila mimi nikimuweka kwenye ulimi sioni huo utamu wake. Kwa hiyo watu tofauti huchagua vitu tofauti. Ni maisha tu
 
Ndio maana nikasema unless kama kuna faida za kiuchumi, lakini otherwise ni kujishushia heshima tu.
Kizazi cha sasa kina mindset tofauti na uloyonayo mkuu. Zamani mzee kuoa binti wa miaka 16 ni sawa Ila mwanamke kuolewa na mwanaume aliyemzidi hata miaka 2 ilikuwa ni tatizo. Ila kwa sasa naona huo mstari unazidi kuvunjika tu
 
sio sababu, ili mwanaume achangamke anahitaji mwanamke wa kumchangamsha wa kumpa kash kadhi, sasa jimama mmesema limetilia kashi kashi inatoka wapi, mwanamke mtu mzima hawezi kukupa hasira za kutafuta maana anajua ukipata utamuacha ukatafute visichana vibichi vya size yako, atakufanya uwe tegemezi, làkini akikuchoka unafungishwa virago alfajiri kabisa
 
Huyo kwenye picha ni binti au aunt ?
 
Shida hilo neno kila mtu analitafsiri kivyake.

Mimi naamini wanawake hawana muda maalum wa kuisha mvuto, kwamba eti 30 ndo kilele.

Hayo mambo ya kutumika sana ni ya kwako wengine hawajali, kwenye pango la chatu anazama mwerevu.

Sio lazima ufuate hela unaweza ukavutiwa tu...
 
Sasa mbona hata wa miaka 25 nao wanashindwa kutongoza wenye miaka 20 badala yake wanaenda kwa wamama wenye 40?
Soma nilicho andika kwa kutumia akili nimesema saikoloji ya mvulana inabadilika na kuzoea kuvutiwa na wenye umri mkubwa kutokana na hayo mambo mbalimbali ya vitisho vya kubaka kufungwa jela kusimangwa ..na ushuhuda wa wenzao walio pata matatizo kwa kutongoza walio chini yao kukamatwa ... kufikishwa polisi au hata mahakamani na wengine kufungwa yote hayo yanamgeuza nafsi kijana kutoka kuwa tamani wasichana walio chini yake kiumri hadi kuwaelekea walio juu yake kiumri.
 
Una hoja kijana mpenda mishangazi Poor Brain njoo utuambie wewe ilikuaje ukazama mazima kwa mama zako wadogo.
 
Ngono imekuwa "mchezo mchafu" toka lini?
 
Huwa sielewi wanaume waliopo 40+ kutembea na vibinti vidogo, yaani badala ya kukaa na mdada anajielewa unavuana na katoto kapo 20s kweli?
Hiyo ndiyo kawaida labda wewe ndiyo wale wanashabikia taifa lifuate mfumo jike yana wanaume na wanawake wafuate mfumo jike ....kawaida ni mwanaume mkubwa kutembea na msichana mdogo na isiyo kawaida ni mwanamke mkubwa kutembea na mwanaume mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…