Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Screenshot_2024-11-04-10-46-29-666_com.miui.gallery.jpg
 
Hiyo ndiyo kawaida labda wewe ndiyo wale wanashabikia taifa lifuate mfumo jike yana wanaume na wanawake wafuate mfumo jike ....kawaida ni mwanaume mkubwa kutembea na msichana mdogo na isiyo kawaida ni mwanamke mkubwa kutembea na mwanaume mdogo
Age gap isiwe kubwa sana, unamzidi mdada 20yrs hata kufikiri kwenu sio sawa, hata mkikaa mahali unaona kabisa hampo compatible. Binafsi miaka kumi au chini ya hapo nakubali, ila huwezi kuwa 45 unable bana na katoto 20.
 
sio sababu, ili mwanaume achangamke anahitaji mwanamke wa kumchangamsha wa kumpa kash kadhi, sasa jimama mmesema limetilia kashi kashi inatoka wapi, mwanamke mtu mzima hawezi kukupa hasira za kutafuta maana anajua ukipata utamuacha ukatafute visichana vibichi vya size yako, atakufanya uwe tegemezi, làkini akikuchoka unafungishwa virago alfajiri kabisa
Ni kweli kwa kiasi kikubwa mkuu
 
Usiite kitu upuuzi kisa hukipendi...we shinda mechi zako kwani shida nini mkuu... unasema asidate wakubwa...wadogo ndo anaenda jela...wa umri wake ndo Hawa wanaosema "sitoki na agemate wangu natafuta mtu mature"...unataka vijana wawe mashoga au? .
We kama umeweza pata mtu size yako inafit tembea...k usioilamba inakuwashia nini?
 
Hiyo ndiyo kawaida labda wewe ndiyo wale wanashabikia taifa lifuate mfumo jike yana wanaume na wanawake wafuate mfumo jike ....kawaida ni mwanaume mkubwa kutembea na msichana mdogo na isiyo kawaida ni mwanamke mkubwa kutembea na mwanaume mdogo
"Kawaida" Ni uhalalisho wa kile kilichokubalika na jamii moja. Kuna wengine ni kawaida kuoa binamu, kukeketa, mafiga matatu, kuua mapacha na walemavu etc

Kwa hiyo hiyo kawaida uliyoitoa bado sijaona mantiki yake zaidi ya kuangalia mfumo.

Kiuhalisia mzee kutembea na binti mdogo ni kujifutia matatizo ndio maana wengi wao wanakufa kwa mapresha ya viagra, kuchapiwa na kukachunga kabinti wakati nguvu za kumtimizia mahitaji yake huna.
 
Ni maisha magumu ndio yanapelekea wajikute wanaangukia kwa mishangazi, ajira hamna, lakini pia akili zao hao vijana fursa wanayoona ni kubet, hawako tayari kujituma
Sasa bwashe katika Hali ya kawaida hata ww ukiwa hana Hela, hauna mchongo unaouskilizia ramani zote zipo tasa unategemea utapata shangazi atakaekupa backup wakati huo kitu pekee ww unaoffer ni kuunganisha goal mbili.
 
Tumieni akili zenu vizuri ...serikali ndiyo imesababisha hayo mambo kutokana na sheria za kijinga ...mfano mvulana wa miaka 18 ndiyo kapewa ruhusa kusex na mwanamke sasa tujiulize huyu mvulana wa miaka 18 anatongoza msichana wa miaka mingapi ?kikawaida mvulana anatakiwa kutongoza wasichana wadogo chini yake ...sasa hapo kuna kingamo la kisheria linasema ni ubakaji kama huyo mvulana akiwaendea wasichana walio chini ya miaka 18 yaani wenye miaka 12 hadi 17 anatishiwa kifungo cha maisha na mara nyingi wasichana wanao kuwa karibu na mvulana wa 18y ni walio chini ya huo umri ..hivyo huyo mvulana analazimika kutumia nguvu nyingi kuwatongoza wasichana wakubwa wanao mwona yeye ni mdogo ...hiyo inasababisha mageuzi kisaikolojia kwa wavulana kuanza kuzoea kutongoza na kutembea na mishangazi kuliko walio chini ya umri wao
Umeandika point sana. Mimi kuna binti ana miaka 19 na ana lishepu laana ila kumtafuna nashindwa kwa sababu bado yuko sekondari. Kwa sasa niko mapenzini na msichana mwenye miaka 51.
 
Back
Top Bottom