Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

Hiyo ndiyo kawaida labda wewe ndiyo wale wanashabikia taifa lifuate mfumo jike yana wanaume na wanawake wafuate mfumo jike ....kawaida ni mwanaume mkubwa kutembea na msichana mdogo na isiyo kawaida ni mwanamke mkubwa kutembea na mwanaume mdogo
Age gap isiwe kubwa sana, unamzidi mdada 20yrs hata kufikiri kwenu sio sawa, hata mkikaa mahali unaona kabisa hampo compatible. Binafsi miaka kumi au chini ya hapo nakubali, ila huwezi kuwa 45 unable bana na katoto 20.
 
Ni kweli kwa kiasi kikubwa mkuu
 
Usiite kitu upuuzi kisa hukipendi...we shinda mechi zako kwani shida nini mkuu... unasema asidate wakubwa...wadogo ndo anaenda jela...wa umri wake ndo Hawa wanaosema "sitoki na agemate wangu natafuta mtu mature"...unataka vijana wawe mashoga au? .
We kama umeweza pata mtu size yako inafit tembea...k usioilamba inakuwashia nini?
 
Hiyo ndiyo kawaida labda wewe ndiyo wale wanashabikia taifa lifuate mfumo jike yana wanaume na wanawake wafuate mfumo jike ....kawaida ni mwanaume mkubwa kutembea na msichana mdogo na isiyo kawaida ni mwanamke mkubwa kutembea na mwanaume mdogo
"Kawaida" Ni uhalalisho wa kile kilichokubalika na jamii moja. Kuna wengine ni kawaida kuoa binamu, kukeketa, mafiga matatu, kuua mapacha na walemavu etc

Kwa hiyo hiyo kawaida uliyoitoa bado sijaona mantiki yake zaidi ya kuangalia mfumo.

Kiuhalisia mzee kutembea na binti mdogo ni kujifutia matatizo ndio maana wengi wao wanakufa kwa mapresha ya viagra, kuchapiwa na kukachunga kabinti wakati nguvu za kumtimizia mahitaji yake huna.
 
Ni maisha magumu ndio yanapelekea wajikute wanaangukia kwa mishangazi, ajira hamna, lakini pia akili zao hao vijana fursa wanayoona ni kubet, hawako tayari kujituma
Sasa bwashe katika Hali ya kawaida hata ww ukiwa hana Hela, hauna mchongo unaouskilizia ramani zote zipo tasa unategemea utapata shangazi atakaekupa backup wakati huo kitu pekee ww unaoffer ni kuunganisha goal mbili.
 
Umeandika point sana. Mimi kuna binti ana miaka 19 na ana lishepu laana ila kumtafuna nashindwa kwa sababu bado yuko sekondari. Kwa sasa niko mapenzini na msichana mwenye miaka 51.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…