Kijana miaka 25-30 kwanini uendelee kukaa kwa shemeji yako? Ati kisigizio ‘unasikilizia ajira’?

Good_morning Wakuu.

Naomba tupunguze kuwasema vibaya watu wanaoishi kwa shemeji zao. Mimi naamini hata wao hawapendi kukaa kwa shemeji.

Pia na nyinyi Mashemeji acheni midomo wapeni fursa shemeji zenu.

Jamii acheni masemango bali waonyesheni fursa hao watu wanaoishi kwa shemeji zao.
 
Tatizo siyo kuishi kwa shemeji yako, tatizo ni je unaishi kwa shemeji yako una umri gani?
Tatizo ni mtazamo wako mkuu mbona kuna watu wana umri 30+ na hawana kazi. Hivyo basi usione tatizo umri mpe fursa.

Ukishidwa kumpa fursa usimseme vibaya.
 
Good_morning Wakuu.

Naomba tupunguze kuwasema vibaya watu wanaoishi kwa shemeji zao. Mimi naamini hata wao hawapendi kukaa kwa shemeji.

Pia na nyinyi Mashemeji acheni midomo wapeni fursa shemeji zenu.

Jamii acheni masemango bali waonyesheni fursa hao watu wanaoishi kwa shemeji zao.
Tatizo Sio Kuishi kwa Shemeji yako Tatizo Ni Wewe Na Dada Yako kuulizwa Leo Mnajisikia kula Nini
 
Good_morning Wakuu.

Naomba tupunguze kuwasema vibaya watu wanaoishi kwa shemeji zao. Mimi naamini hata wao hawapendi kukaa kwa shemeji.

Pia na nyinyi Mashemeji acheni midomo wapeni fursa shemeji zenu.

Jamii acheni masemango bali waonyesheni fursa hao watu wanaoishi kwa shemeji zao.
Pole mkuu, Naona umeridhika hapo kwa shemeji hutaki kuhama.
Endelea Mimi kwa wito wako sitakusema kwa kukaa hapo. Enjoy kama dada yako ila siku akifukuzwa mnaondoka wote.
 
Utakuta mleta mada shemej yake anamuamini na kumpa wanae awapeleke stendi kusubiria school bus
Screenshot_20260703_112034_Instagram.jpg

ndugu Chizi Maarifa
secretarybird vijana wanazidi kupotea, ndugu anabeli ndio kiashiria, picha inaanza alikuwa chakula cha shemeji😢
 
Back
Top Bottom