fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,481
- 4,014
Sio msaada mkuu ni_kuongoza njia. Ukiona unashindwa ku_deal na issue ya shemeji yako kupata mchongo(hata wa kuuza maji) hata wewe inatakiwa ujue bado sana.Nani awasaidie?
Nimeongelea suala la vibarua nikiwa na maana kwamba huko kwenye mitikasi ya maisha ndiyo watakutana na connection za kazi.
Yani wewe ukae hapo kwa shemeji yako halafu utegemee kuna mtu atakutafuta au kukufata hapo kukupa mchongo ukiwa hapo kwa shemeji yako?
Hata shetani hafanyi kazi kwa namna hiyo achilia mbali malaika.