Kijana miaka 25-30 kwanini uendelee kukaa kwa shemeji yako? Ati kisigizio ‘unasikilizia ajira’?

Good_morning Wakuu.

Naomba tupunguze kuwasema vibaya watu wanaoishi kwa shemeji zao. Mimi naamini hata wao hawapendi kukaa kwa shemeji.

Pia na nyinyi Mashemeji acheni midomo wapeni fursa shemeji zenu.

Jamii acheni masemango bali waonyesheni fursa hao watu wanaoishi kwa shemeji zao.
 
Tatizo siyo kuishi kwa shemeji yako, tatizo ni je unaishi kwa shemeji yako una umri gani?
Tatizo ni mtazamo wako mkuu mbona kuna watu wana umri 30+ na hawana kazi. Hivyo basi usione tatizo umri mpe fursa.

Ukishidwa kumpa fursa usimseme vibaya.
 
Tatizo Sio Kuishi kwa Shemeji yako Tatizo Ni Wewe Na Dada Yako kuulizwa Leo Mnajisikia kula Nini
 
Pole mkuu, Naona umeridhika hapo kwa shemeji hutaki kuhama.
Endelea Mimi kwa wito wako sitakusema kwa kukaa hapo. Enjoy kama dada yako ila siku akifukuzwa mnaondoka wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…