Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Hatuongelei suala la umri na kazi hapa, tunazungumzia kuishi kwa shemeji yako.Tatizo ni mtazamo wako mkuu mbona kuna watu wana umri 30+ na hawana kazi. Hivyo basi usione tatizo umri mpe fursa.
Ukishidwa kumpa fursa usimseme vibaya.
Asee kukaa kwa shemeji uku upo na akili timamu must udate maana jamaa atawaona wote niwake zake maana atakutuma,atakuuliza dada yako yupo wapi,watnto wapo na hali gani na hatar sana akikupa na zawadi au akulize shemu umapenda au kula nini?( hatali zaidi mtoto wa kiume kukaa na kusaidiwa na shemu angalau mtoto wakike kukaa kwa shemeji)
Mkuu ni kweli tunaongelea umri but believe me "hakuna mtu mwenye kazi yake atakaa kwa shemeji yake".Hatuongelei suala la umri na kazi hapa, tunazungumzia kuishi kwa shemeji yako.
Kwa umri huo hata aibu hauwezi kuona?
Kwanini mkuu ?hii 🪡 imeandikwa na mwanamke au mwanaume?
Hakika mkuu ni huzuni sana. Tuwape michongo hasa watoto wakiume.Asee kukaa kwa shemeji uku upo na akili timamu must udate maana jamaa atawaona wote niwake zake maana atakutuma,atakuuliza dada yako yupo wapi,watnto wapo na hali gani na hatar sana akikupa na zawadi au akulize shemu umapenda au kula nini?( hatali zaidi mtoto wa kiume kukaa na kusaidiwa na shemu angalau mtoto wakike kukaa kwa shemeji)
Mkuu sina imani kama wako proud ila nikukosa kazi tu.Unaishije kwa shemeji na unakuwa proud?
Hakika mkuu ni mashemeji wasio jiweza kusolve issue ndogondogo kama hizi.Shemeji uchwara ndio wanaosema vibaya shemeji zao wanaoishi nao.
Mwanaume wa ukweli na mwenye kujiweza hawezi lialia juu ya uwepo wa shemeji yake nyumbani kwake.
Hawa wanaowasema vibaya shemeji zao humu ni vibweka waoga walioshindwa kuwachana laivu shemeji zao huko walikopanga chumba na sebule, chakula cha kupimiana. Nyama ni sikuu hadi sikuu.
Kazi gani hasa mtu akiipata ndo unajua fulani amepata kazi?Mkuu ni kweli tunaongelea umri but believe me "hakuna mtu mwenye kazi yake atakaa kwa shemeji yake".
Ni kukosa kazi tu na hiyo haina umri.
Hakika mkuu vijana wanapewa pressure sana.Kila mtu ana njia zake
Kila mtu ana experiences zake
Huwa nasema kitu kimoja
Asikupangie mtu maisha kwa sababu wewe ndiye unajua ni nini unapitia na ni wapi unaelekea
Kuna waliopata kazi mapema wakawadharau wengine ila wamestaafia kwenye mbavu za mbwa ila kuna waliowadharau lakini wakawazidi maisha.
Ile siku ya mafanikio kila mtu humjia kwa wakati wake.
So kama kuna mtu yupo kwa shemeji na anahustle kutoka. Azibe pamba masikioni atengeneze maisha yake. Hii mitazamo ya watu ni non sense kwa sababu hata haisadii zaidi ya kumvuruga mtu kisaikolojia
Kibarua ndiyo kazi yenyewe mkuu.Kazi gani hasa mtu akiipata ndo unajua fulani amepata kazi?
Mbona kuna vijana wengi sana wameweza kujitegemea kwa kufanya vibarua tu.
Yani sababu yako ya mtu kutokuwa na kazi unaiona ndiyo sababu ya msingi mtu kuendelea kukaa kwa shemeji yake?
Safi sana, sasa utaniambia wewe huo mkoa, na kata unayokaa hamna kabisa vibarua vya wewe kuweza kufanya?Kibarua ndiyo kazi yenyewe mkuu.
Mkuu me nakuelewa ila nimeshauri hao vijana wasaidiwe kuonyweshwa fursa. Tusiishie kuwasema tu.Safi sana, sasa utaniambia wewe huo mkoa, na kata unayokaa hamna kabisa vibarua vya wewe kuweza kufanya?
Wewe ni mlemavu?
Acheni kuendekeza ujinga.
Nani awasaidie?Mkuu me nakuelewa ila nimeshauri hao vijana wasaidiwe kuonyweshwa fursa. Tusiishie kuwasema tu.
Nataka nijibu kulingana na jinsia ya mtoa uzi.Kwanini mkuu ?
Anabeli anachekesha kama hatoki kwenu.View attachment 3621134
ndugu Chizi Maarifa
secretarybird vijana wanazidi kupotea, ndugu anabeli ndio kiashiria, picha inaanza alikuwa chakula cha shemeji😢
View attachment 3621134
ndugu Chizi Maarifa
secretarybird vijana wanazidi kupotea, ndugu anabeli ndio kiashiria, picha inaanza alikuwa chakula cha shemeji😢