Sio msaada mkuu ni_kuongoza njia. Ukiona unashindwa ku_deal na issue ya shemeji yako kupata mchongo(hata wa kuuza maji) hata wewe inatakiwa ujue bado sana.Nani awasaidie?
Nimeongelea suala la vibarua nikiwa na maana kwamba huko kwenye mitikasi ya maisha ndiyo watakutana na connection za kazi.
Yani wewe ukae hapo kwa shemeji yako halafu utegemee kuna mtu atakutafuta au kukufata hapo kukupa mchongo ukiwa hapo kwa shemeji yako?
Hata shetani hafanyi kazi kwa namna hiyo achilia mbali malaika.
Men.Nataka nijibu kulingana na jinsia ya mtoa uzi.
KabisaHakika mkuu vijana wanapewa pressure sana.
Bado haujaelewa nilicho maanisha au unafanya makusudi kutokuelewa.Sio msaada mkuu ni_kuongoza njia. Ukiona unashindwa ku_deal na issue ya shemeji yako kupata mchongo(hata wa kuuza maji) hata wewe inatakiwa ujue bado sana.
Sawa mkuu nimekuelewa.Bado haujaelewa nilicho maanisha au unafanya makusudi kutokuelewa.
Hatari mkuu watu wanakunja sana. Ukiwa home hauna mishe hata wajinga watajiona wana_maarifa kukuzidi.Ila kukaa kwa watu ukiwa mtu mzima ni shughuli pevu achilia mbali kukaa kwa shemeji!
Niliwahi kaa kwa ndugu kama miezi 6 baada ya kumaliza chuo ilikuwa kama miaka 6, ule msoto sio poa..alafu sio kwamba watu wana maisha mabaya, ila kuna vitu wanafanya lengo ni kukukomoa tu!
Kwa wasio na kaka inakuwaje Mkuu?Basi wakakae kwa kaka zao, ukikaa kwa kaka shemeji yako ni kama mke wako ni rahisi kuwa na sauti 😅🥹
Mtihani mkuu, inabidi wabane hapo hapo kwa shemeji wa kikeni.Kwa wasio na kaka inakuwaje Mkuu?
Vijana wa sasa tumekuwa wachoyo sana.Mtihani mkuu, inabidi wabane hapo hapo kwa shemeji wa kikeni.
Honestly sioni ubaya, sisi tuliozaliwa miaka ya 90’s majumbani kwetu kulikuwa na watu kama wote, mashemeji mawifi kasheshe
Tena sana.
Mkuu una ugomvi na Lucas Mwashambwa nini? Maana amegoma kabisa kuondoka kwa shemejiye.Good_morning Wakuu.
Naomba tupunguze kuwasema vibaya watu wanaoishi kwa shemeji zao. Mimi naamini hata wao hawapendi kukaa kwa shemeji.
Pia na nyinyi Mashemeji acheni midomo wapeni fursa shemeji zenu.
Jamii acheni masemango bali waonyesheni fursa hao watu wanaoishi kwa shemeji zao.
😀😀 nilikuwa sijui mkuu kumbe bado yupo kwa shemu 😀.Mkuu una ugomvi na Lucas Mwashambwa nini? Maana amegoma kabisa kuondoka kwa shemejiye.
Good, Familia yenu haina fikra za kimasikini Mkuu. Mzee wako mtu safi sana.Labda yategemea tu na desturi zenu
Mbona mie shemeji yangu aliyemwoa dada yangu kamuolea hapa kwetu wakapewa mtaji na Mzee mpaka washazaa watoto watatu tiari na hatujawahi mmyanyasa, hlf yeye ni wa Mombasa sio Mzanzibari
Tena sana.Duh ni huzuni sana.