So sad nakumbuka mwaka juzi kuna mke wa mtu aliwahi kunielewa akawa anafosi sana mapenzi namimi mi nikawa nampotezea baadae akaanza kuniletea dharau nikaona huu ujinga nikachukua namba tukaanza kuchat aisee tulikuja kuwa close sana bac kuna siku tumechat dem akajisahau kufuta text akasinzia jamaa yake akazikuta kesho yake tukaendelea kuchat kama kawaida kumbe nachat na mwamba dem kanyang'anywa cm kitambo aisee mwamba aliniset nikajaa. Baadae akaniambia nimpigie, ile kupiga naskia sauti ya kiume aisee nilipagawa sema mshkaj alikuwa mtu poa tu tukayamaliza kiume angekuwa anaroho kama ya huyu mwamba saiz kitambo tu ningesha rest in hell. Baada ya siku mbili nakutana na yule dem akaanza kujiliza et baby nilijua washakuuwa nikamwambia achana namimi. Toka siku hiyo wake za watu nakaa nao mbali sana. Maana wanawake wenyewe akili awana anytime wanakuchoma