Kijana mkoani Kilimanjaro auawa kwa panga kwa madai ya kutaka kushiriki tendo la ndoa na mke wa mtu

So sad nakumbuka mwaka juzi kuna mke wa mtu aliwahi kunielewa akawa anafosi sana mapenzi namimi mi nikawa nampotezea baadae akaanza kuniletea dharau nikaona huu ujinga nikachukua namba tukaanza kuchat aisee tulikuja kuwa close sana bac kuna siku tumechat dem akajisahau kufuta text akasinzia jamaa yake akazikuta kesho yake tukaendelea kuchat kama kawaida kumbe nachat na mwamba dem kanyang'anywa cm kitambo aisee mwamba aliniset nikajaa. Baadae akaniambia nimpigie, ile kupiga naskia sauti ya kiume aisee nilipagawa sema mshkaj alikuwa mtu poa tu tukayamaliza kiume angekuwa anaroho kama ya huyu mwamba saiz kitambo tu ningesha rest in hell. Baada ya siku mbili nakutana na yule dem akaanza kujiliza et baby nilijua washakuuwa nikamwambia achana namimi. Toka siku hiyo wake za watu nakaa nao mbali sana. Maana wanawake wenyewe akili awana anytime wanakuchoma
 
KWA KUWA HAKUNA SHERIA YA UGONI/FUMANIZI.

BASI KANUNI YA 'TIA UTIWE' LAZIMA IFUATWE
Nilichokishangaa mimi na kukuona shujaa ni kitendo cha kukamata ugoni halafu muda huo huo usimamishe kulipizia kisasi!

Sheria ya ugoni mbona ipo upande wa kesi za madai?

Sisi wengine baba, nikikasirika nguvu zote za chini ghafla zinahamia juu kupambana.

Haiwezekani nikamate ugoni ama nihisi jambo hilo kufanyika, kisha nidindishe, haiwezekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So sad nakumbuka mwaka juzi kuna mke wa mtu aliwahi kunielewa akawa anafosi sana mapenzi namimi mi nikawa nampotezea baadae akaanza kuniletea dharau nikaona huu ujinga nikachukua namba tukaanza kuchat aisee tulikuja kuwa close sana bac kuna siku tumechat dem akajisahau kufuta text akasinzia jamaa yake akazikuta kesho yake tukaendelea kuchat kama kawaida kumbe nachat na mwamba dem kanyang'anywa cm kitambo aisee mwamba aliniset nikajaa. Baadae akaniambia nimpigie, ile kupiga naskia sauti ya kiume aisee nilipagawa sema mshkaj alikuwa mtu poa tu tukayamaliza kiume angekuwa anaroho kama ya huyu mwamba saiz kitambo tu ningesha rest in hell. Baada ya siku mbili nakutana na yule dem akaanza kujiliza et baby nilijua washakuuwa nikamwambia achana namimi. Toka siku hiyo wake za watu nakaa nao mbali sana. Maana wanawake wenyewe akili awana anytime wanakuchoma
Na mimi nae kuna mmoja alikuwa a asumbua sana. Mimi nikawa namkatalia sasa kuna siku kanitumia sms hiyo hatari sijui hakufuta kwenye simu yake asubihi yake jamaa ananipigia anaseme wewe ndio unamtumia sms mke wangu akitaja yale maneno aliyoandika mke wake nikamjibu wewe na mke wako msinichanganye. Nikaseme emu muulize huyo mke wako ila nashukuru toka hapo hajawahi kunisumbua mpaka leo
 
Back
Top Bottom