Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

Izo hazinyolewi kabisaa alaah mwanaume unaanzaje kuzitoa iwe kwa shaver au magic unataka nani akuone palivyopendeza, huwa zinapunguwa zenyewe labda kama zimerefuka sana ziprone na mkasi
Nanyoa ili niwe safi, sipendi kunaka majasho ikitokea nimekaa uchi watu waone niko safi,. Kwani nywele za kwapa tunanyoa ili iweje? Nani anaziona?
 
Sawa si unyoe upake na mafuta
Mafuta muhimu pawe laini, kwani ww hupaki mafuta mwilini? Kazi ya mafuta kulainisha ngozi na kunalisha na kule mm napaka vzr tena ninayo mazuri ya kuteleza na kufanya pawe safi wakat wote
 
Kama unavyonyoa mavuzi na kwapa vivyo hivyo nywele za matakoni zinafaa kunyolewa. Utabeba mavi na bacteria wanaozaliana kwa jasho. Usafi wa matako ni sawa na usafi wa viungo vingine vya mwili.
Na unapooga inapaswa na kwenyew pasafishwe sana na kupaka mafuta ili pavutie pawe laini
 
Sijajua kama kuna watu wanayoa hizo nywele, lakini isiwe kigezo

Kama mtu una itikadi za kupelekewa moto hata usiponyoa utataka tu hiyo michezo ya kifirauni

Cha msingi ni mtoto wa kiume kujitambua na kuwa na mikazo, ukijilegeza legeza utaolewa tu
Kuolewa kawaida, ni hisia ya mtu
 
Nakazia Hapo kwenye kupanda panda juu ya meza kucheza Miso Misondo na mitaa kukubariki jina la Kijana Wa Hovyo pigia mstari.🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…