Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

Mimi ni kijana wa mkoani na huwa nanyoa nywele sehemu zote zinazopaswa kunyolewa including nywele za makalioni. Mtu unakaa na nywele hadi zinaota ukungu uchafu mtupu. Mkipata fungus mnaenda kuwabong’olea madaktari wawakague wawape dawa[emoji28] tuepuke aibu ndogondogo zinazosababishwa na uchafu unaoweza kuepukika.
Hakuna kitu kama hicho
 
Inavoonekana hao wazee walikua wanawaza ngono tu...Wakati wazee wenzao wa Ulaya,China,USA na kwingineko walikuwa wanavumbua mambo...wanatengeneza na kuanzisha biashara wanakuza mataifa yao....ndo maana tuko hapa..hata kujitawala hatuwezi..full kupotezana..
Katika Djnia hii hakuna Wazee waliokuwa wahovyo kama Wazee wetu weusi

Wazee wa wenzetu waligundua vitu vikubwa vya muhimu for centuries, decades n.k ila wa kwetu ni kufanywa watumwa tu

Waarabu,Washirazi, Wazungu na Wahindi wote walitufanya watumwa

Hii ni jamii Duni na Dhaifu sana
 
Swali, hivi kwa Wanawake pia huwa zinaota na wananyoa au hazioti kabisa?
 
Mimi sijui kuhusu hizo nywele za nyuma, ila nachojua ni kwamba aandaaye bustani basi anatarajia Wageni, naomba niishie hapa.
Kunyoa ni dalili ya ushoga哦呵次 烏克那三年痾其他吃惱怒誒

死呢內能日呢內女

Nadhani tumeelewana[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Wanaume wenzangu karibu hapa tujadili ya yakale ya wazee wetu vijana wengi siku hizi hawana adabu wala hawataki kushika maneno ya wazee wao vijana wanyoa "QADHA" vijana wasiosikia la mzazi, vijana wabishi hakuna wasolijua, vijana waso na aibu wafiraji.

Vijana waso na ubunifu wacheza kamari, vijana waso na nguvu za kiume, vijana waso na heshima kwa wazee, vijana wavaao nguo za kubana zinazochora mwili mpaka makalio, vijana wavivu wanopenda kushinda vijiweni asubuhi mpaka jioni angali wazee wetu kijiwe lilikuwa ni jioni baada ya kutoka shamba, vijana wanaopanda panda juu ya meza kucheza miso misondo, vijana wavaa heleni waso sikia la muidhini.

Haya ndio matokeo ya kutokuheshimu wazee vijana wanageuka kuwa mashoga vijana wa kupiga kimoja chali vijana wanakufa na stress za maisha wakiwa na miaka 20 tu wakati wazee wetu walikuwa wanapeleka moto unaambiwa kwa fundi selemara kila siku kulikuwa hakuishi kuletwa kwa Chaga mbovu kila kukicha, wazee wetu walimiliki Wanawake 4 na watoto 38 pamoja na yote hawakufa na stress za maisha mpaka miaka 98 wanadunda na Bado wakiitwa kwenye 6x6 wanasukuma moto wanarudisha heshima ya neno mwanaume.

Kijana wewe una miaka 20 unapeleka demu kimoja unakata pumzi kijana ambae leo ukipata mtoto moja tu unamkimbia mke wako kisa kushinda kutoa huduma Kwa mtoto, wakati Mzee wako alikuwa anahudumia watoto 38 katika hao 38. Mmoja wapo ni wewe ambao leo mitaa imekubariki jina la "kijana wa hovyo" ewe kijana ni nani alikwambia uyakimbie ya wazee wako ona sasa yanayokufika leo ni huzuni.

KIJANA MWANAUME HANYOI NYWELE ZA NYUMA KWA WEMBE UTAHANITHIKA.
Hii ni kauli ya wazee wako wa kale kijana vuzi la nyuma halinyolewi na wembe utahanithika. Wazee ambao leo hutaki kusikia kuhusu wao ndio maana unateseka kama kenge alovamia kazi ya mamba.
Picha tafadhali ili tujifunze inakuwaje!


Halafu kama hawanyoi kwa wembe wanamyoa kwanini?
 
Uzi umeanza kunuka mavi baada ya kuingiliwa na wathenge
 
Wapo walio kaza na wameolewa pia.
Ndo maana mnashindwa namna ya kupambana na ushoga, mnawaza kizamani.
Watu wameshatoka huko kitamboo.
Tatizo ni umedandia treni kwa mbele, hauwezi kuwa na mikazo halafu utake kukazwa unless uwe mchelemchele

Ndio maana nikasema ukipenda hiyo michezo ya kifirauni hata uwe vipi bado tu utataka tu ubunyuliwe, hivyo inaanzia na mindset na changamoto ni kuwa wote mnaopenda michezo hiyo huwa mna mtindio wa ubongo

By the way, kwanini naongea yote haya wakati hii ni kesi ya nyani na imefika kwa ngedere?

#tokahukonjookwaYesuanaokoa
 
Back
Top Bottom