Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

Wanaume wenzangu karibu hapa tujadili ya yakale ya wazee wetu vijana wengi siku hizi hawana adabu wala hawataki kushika maneno ya wazee wao vijana wanyoa "QADHA" vijana wasiosikia la mzazi, vijana wabishi hakuna wasolijua, vijana waso na aibu wafiraji.

Vijana waso na ubunifu wacheza kamari, vijana waso na nguvu za kiume, vijana waso na heshima kwa wazee, vijana wavaao nguo za kubana zinazochora mwili mpaka makalio, vijana wavivu wanopenda kushinda vijiweni asubuhi mpaka jioni angali wazee wetu kijiwe lilikuwa ni jioni baada ya kutoka shamba, vijana wanaopanda panda juu ya meza kucheza miso misondo, vijana wavaa heleni waso sikia la muidhini.

Haya ndio matokeo ya kutokuheshimu wazee vijana wanageuka kuwa mashoga vijana wa kupiga kimoja chali vijana wanakufa na stress za maisha wakiwa na miaka 20 tu wakati wazee wetu walikuwa wanapeleka moto unaambiwa kwa fundi selemara kila siku kulikuwa hakuishi kuletwa kwa Chaga mbovu kila kukicha, wazee wetu walimiliki Wanawake 4 na watoto 38 pamoja na yote hawakufa na stress za maisha mpaka miaka 98 wanadunda na Bado wakiitwa kwenye 6x6 wanasukuma moto wanarudisha heshima ya neno mwanaume.

Kijana wewe una miaka 20 unapeleka demu kimoja unakata pumzi kijana ambae leo ukipata mtoto moja tu unamkimbia mke wako kisa kushinda kutoa huduma Kwa mtoto, wakati Mzee wako alikuwa anahudumia watoto 38 katika hao 38. Mmoja wapo ni wewe ambao leo mitaa imekubariki jina la "kijana wa hovyo" ewe kijana ni nani alikwambia uyakimbie ya wazee wako ona sasa yanayokufika leo ni huzuni.

KIJANA MWANAUME HANYOI NYWELE ZA NYUMA KWA WEMBE UTAHANITHIKA.
Hii ni kauli ya wazee wako wa kale kijana vuzi la nyuma halinyolewi na wembe utahanithika. Wazee ambao leo hutaki kusikia kuhusu wao ndio maana unateseka kama kenge alovamia kazi ya mamba.
Kama hawaupata ujumbe basi hawaupati tena.
 
Thread ya kufikirika hii,unakuwa mkao gani na unatumia nini kufanya hivyo? Kwanza sisi wengine hatujui kama kuna nywele za namna hiyo.
 
Aliekwambia tunanyoa na wembe nani na wewe, si kiwembe kitachana marinda yangu, tuna nyoa na magic shaver, nikirudi nyumban nitakupigia picha uamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuu
 
Inavoonekana hao wazee walikua wanawaza ngono tu...Wakati wazee wenzao wa Ulaya,China,USA na kwingineko walikuwa wanavumbua mambo...wanatengeneza na kuanzisha biashara wanakuza mataifa yao....ndo maana tuko hapa..hata kujitawala hatuwezi..full kupotezana..
Ndo maana ake, ktk uzi wake wote kajadili ngono, kuzaa holela na ushoga. Bas
 
Mikoani zinaitwa Makata mavi, ukimaliza kuchamba inabidi uinuke kidogo af utingishe tako kama kuku aliyenyeshewa ili kupunguza maji [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijajua kama kuna watu wanayoa hizo nywele, lakini isiwe kigezo

Kama mtu una itikadi za kupelekewa moto hata usiponyoa utataka tu hiyo michezo ya kifirauni

Cha msingi ni mtoto wa kiume kujitambua na kuwa na mikazo, ukijilegeza legeza utaolewa tu
Wapo walio kaza na wameolewa pia.
Ndo maana mnashindwa namna ya kupambana na ushoga, mnawaza kizamani.
Watu wameshatoka huko kitamboo.
 
Haya nyoa basi mkuu vijana wa dar ndio mlivyo

Mimi ni kijana wa mkoani na huwa nanyoa nywele sehemu zote zinazopaswa kunyolewa including nywele za makalioni. Mtu unakaa na nywele hadi zinaota ukungu uchafu mtupu. Mkipata fungus mnaenda kuwabong’olea madaktari wawakague wawape dawa[emoji28] tuepuke aibu ndogondogo zinazosababishwa na uchafu unaoweza kuepukika.
 
Back
Top Bottom