Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

uzitoe wapi???
Basi ningekuwa naishi kwa kubaingaza mpaka sasa, elimu imenikomboa, kazi ninayo yakutosha kabisa, sasa sijui unazungumzia akili gani wew mtu, isitoshe kila mtu ana akili zake nisije nikawa najibizana na mtu mwenye stress za maisha, ngoja ninywe zangu wine nilale usinchoshe kwanza
 
Huna hata unachokijua, na hiyo kaulimbiu yako ndo nimekutoa ktk maana kabisaa.
 
Mbona rahisi sana, unakaa kama kifo cha mende alaf miguu unaichanua ndio naanza kazi ya kunyoa taratibu, smtms nikihitaji msaada huwa naomba watu wanisaidie na sio kila mtu anaweza bali kuna wale wataalam ndio nawaombaga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…