Madhara ya el nino fake haya π€£π€£π€£Hivi wakuu mbn content za mwaka huu siyo kbs
kwamba unanyoa na nn?Aliekwambia tunanyoa na wembe nani na wewe, si kiwembe kitachana marinda yangu, tuna nyoa na magic shaver, nikirudi nyumban nitakupigia picha uamini.
Yaan full vurugu sijui vijana wamekuajeMadhara ya el nino fake haya π€£π€£π€£
Namba ya sumu? Mkuu kwani mimi nauza sumu πNimekuomba namba ya sumu umenikatalia.
Kwanini??
Inabidi serikali izungumze na hii mitandao waendelee kuminya mabando ya simu.Yaan full vurugu sijui vijana wamekuaje
ππ lakini ndo mmewaachia wakae madarakani?Nilishakukataza kuchati na wafuasi wa ccm.
Na unanijua vizuri. Niko intel hapa nakuzoom tu.
Nasikia sauti nafsini inaniambia ukiacha kushabikia sisiemu ndio nikupe π₯Ήπππ
Simu.
Mia nne ilikua mwaka gani.?Nasikia sauti nafsini inaniambia ukiacha kushabikia sisiemu ndio nikupe π₯Ή
Imagine nimeanza maisha nauli ya hiace mia4, sahivi mia6.
Sio kwa kupenda kwetu, kwahiyo ndio unachati nao??ππ lakini ndo mmewaachia wakae madarakani?
ππππππNasikia sauti nafsini inaniambia ukiacha kushabikia sisiemu ndio nikupe π₯Ή
Imagine nimeanza maisha nauli ya hiace mia4, sahivi mia6.
πππππππtoto hujamboNasikia sauti nafsini inaniambia ukiacha kushabikia sisiemu ndio nikupe π₯Ή
Imagine nimeanza maisha nauli ya hiace mia4, sahivi mia6.
2020Mia nne ilikua mwaka gani.?
Haha sio totoo wa kiasi hicho.πππππππtoto hujambo
Mwaka huo ndio umeanza kujitegemea au ndio umestaafu??2020
Kustaafu? Ah jamani.. kuanza.Mwaka huo ndio umeanza kujitegemea au ndio umestaafu??
OK beibe...Kustaafu? Ah jamani.. kuanza.
Upite stendi baadae nikuachie nauliHaha sio totoo wa kiasi hicho.
Sijambo bro, habari yako ππ