min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Wewe kijana mwenye kipaji, usisubiri fursa ikufuate,ndipo uonyeshe ubunifu na kipaji chako kwenye hii dunia ya kidigitališ¤
Nakupa mfano mzuri, kuna kijana mmoja maarufu mtandaoni, anaitwa David pensel, kaamua kutumia kipaji chake cha uchoraji kwa njia ya kujiongeza sana.
Yeye anatoka na vifaa vyake vya uchoraji, anatafuta sehemu kuna watu anawachora kwa siri, then anawapa zile picha bure kabisa.š¤
Watu wanafurahi sana, wengine wanarudisha shukrani kwa kumpa pesa, na wengine wanafurahi na kumsifia sana, ila kwa kutazama vizuri, ni kuwa kijana huyu ameshatoboa kwa kiasi fulani kwa ubunifu wake na kujiongeza binafsi.
Ushauri wangu kwako ewe kijana, kuliko kuomba omba 2000 mitandaoni unaweza tumia mitandao kama njia ya kuonyesha kipaji chako chochote kile na kukuza thamani yako.
Nimemwongela David pensel kwa sababu uchoraji ilikua ndoto yangu kubwa ila kipaji hicho kikamezwa na matumaini ya kuwa natakiwa kubebwa na mtu fulani au makampuni fulani, kuliko kujibeba mwenyewe, ila vijana kama David pensel walikuja kunionyesha ujinga wangu na uoga wangu ili kukuza kipaji changu.
Wapo wengi wamefanya vizuri sana kwenye vipaji vyao kukuza thamani zao, kama kina densel trainer, David pensel, zero brain, na yule jamaa wa katoro mchekeshaji wakimya kimya na wengine wengi.
Hivyo usibweteke kuukalia ufundi, wewe toka magnetoni, uoga wako ndio umaskini wako.
David pensel š