Kijana mwenye kipaji fanya hivi kutoboa...

Katika biashara ya software, software yangu ya kwanza kabisa nikiwa nai develop, sina hata mteja mmoja, nilijitolea bure kuipeleka kwenye taasisi nilizozi target kama customers wangu. Nilianza na taasisi moja. Nikawapa, ikawa inafanya kazi zao na mimi nikiwa kama clerk, nafanya data entry na ku train other departments namna ya kuitumia. Nikawa nami na report kazini mapema kama wafanya kazi wengine, silipwi hata 100.
JAmaa baada ya muda wakaipenda, wakataka tuongee biashara na wakawa wateja wangu wa kwanza. Nikawa nawachaji elfu 40 kwa mwezi. Nikaenda hivyo hivyo hjku nikiwa nai study inavyofanya kazi na ku behave kisha naifanyia marekebisho na maboresho then nikaanza ku penetrate taratibu market mpaka kufika hatua wengine wanalipia 150k kwa mwezi lakini nilianza kama unavyo shauri.

Biashara yangu ya pili nilipoamua kufungua kaji "kiwanda" kadog nikaanza kuzalisha barsoaps nakumbuka mwanzo nilianza kwa kugawa bure tu sabuni maeneo naishi. Watu wakawa wanazipenda, nilipoona wanazipenda nikaanza kuwapa bei kitonga, nikawatengeneza miche ya 1000 lakini yenye ubora na watanzania wanapenda vitu cheap ila vizuri basi nikawa naenda nao ado ado hivyo hivyo mpaka nikaanza kuwa na bei za sabuni za kawaida zilizo zoeleka madukani
SO,
Nakjbaliana na ushauri wako, Ukiwa na kipaji au product au service flani, usisubiri watu wakufuate au wakujue, wala huna haja ya kuanza kwa ukubwaaa huo, anza taratibu taratibu, kinyonge nyonge mwisho wa siku utafika pale unataka.
We fanya anza kwa udogo jkiwa na picha kubwa
 
Dah Testimony kali sana , hongera sana bwashee nimeokota kitu hapo👊
 
Yeah kabisa , wenzetu kenya wanajua sana kucheza na mitandao na vipaji vyao vinawalipa mno kupitia humo
Ujue hata hapa bongo watu wana vingi vizuri vya kuweza kuwalipa TATIZO NI APPROACH tu katika ku implement.
Wengi wanakufa na mawazo mazuri, ma idea makali, na wengine wanaishia kuwa average au kuishi katika umasikini lakini si kwamba hawana vitu kichwani.

Huyo jamaa uliomtaja hapo kwanza kabisa kajivika ujasiri na kuipiga chini aibu. Ile kwamba "watu watanichukuliaje?, nitaonekanaje yani? Hivi nilivyo kweli mimi aahhh hapana hii soo!!"
Ukiji shusha kuiendea ndoto yao hata watu wengine watakapokushusha on ur way hutaona kama ni kitu cha ajabu sana,ukisha predict so una keep focus yako ku achieve unachotaka ku achieve basiiii

Nafikiri hiki wengi ndio wanakosa courage ya kukifanya sehemu ya maisha yao
 
Wewe kijana mwenye kipaji ,usisubiri fursa ikufuate,ndipo uonyeshe ubunifu na kipaji chako kwenye hii dunia ya kidigitali🤔

Nakupa mfano mzuri, kuna kijana mmoja maarufu mtandaoni, anaitwa David pensel , kaamua kutumia kipaji chake cha uchoraji kwa njia ya kujiongeza sana.

Yeye anatoka na vifaa vyake vya uchoraji , anatafuta sehemu kuna watu anawachora kwa siri , then anawapa zile picha bure kabisa🤔

Watu wanafurahi sana , wengine wanarudisha shukrani kwa kumpa pesa , na wengine wanafurahi na kumsifia sana , ila kwa kutazama vizuri, ni kuwa kijana huyu ameshatoboa kwa kiasi fulani kwa ubunifu wake na kujiongeza binafsi.

Ushauri wangu kwako ewe kijana , kuliko kuomba omba 2000 mitandaoni unaweza tumia mitandao kama njia ya kuonyesha kipaji chako chochote kile na kukuza thamani yako.

Nimemwongela David pensel kwa sababu uchoraji ilikua ndoto yangu kubwa ila kipaji hicho kikamezwa na matumaini ya kuwa natakiwa kubebwa na mtu fulani au makampuni fulani, kuliko kujibeba mwenyewe , ila vijana kama David pensel walikuja kunionyesha ujinga wangu na uoga wangu ili kukuza kipaji changu.

Wapo wengi wamefanya vizuri sana kwenye vipaji vyao kukuza thamani zao , kama kina densel trainer, David pensel , zero brain , na yule jamaa wa katoro mchekeshaji wakimya kimya na wengine wengi.

Hivyo usibweteke kuukalia ufundi , wewe toka magnetoni , uoga wako ndio umaskini wako gademitt.

Note: ninakatuni za Lamomy nimezichora na ukorofi wake akiwa na wapambe wake akituzingua jf 😅akitaka nitaziweka😅😅😅

David pensel 👇View attachment 3696341
Mimi kipaji ilikua ni mpira wa miguu nikikanyaga ardhi... Kwenye mguu wangu wa kushoto Mungu aliweka kipaji adhimu na ADIMU SANAAA

Mguuni mwangu kulikua na kipaji cha ajabu ila Mimi siku uamini mpira wa miguuu

Nb. Do not let your talent die while you're still alive...
 
Wewe kijana mwenye kipaji ,usisubiri fursa ikufuate,ndipo uonyeshe ubunifu na kipaji chako kwenye hii dunia ya kidigitali🤔

Nakupa mfano mzuri, kuna kijana mmoja maarufu mtandaoni, anaitwa David pensel , kaamua kutumia kipaji chake cha uchoraji kwa njia ya kujiongeza sana.

Yeye anatoka na vifaa vyake vya uchoraji , anatafuta sehemu kuna watu anawachora kwa siri , then anawapa zile picha bure kabisa🤔

Watu wanafurahi sana , wengine wanarudisha shukrani kwa kumpa pesa , na wengine wanafurahi na kumsifia sana , ila kwa kutazama vizuri, ni kuwa kijana huyu ameshatoboa kwa kiasi fulani kwa ubunifu wake na kujiongeza binafsi.

Ushauri wangu kwako ewe kijana , kuliko kuomba omba 2000 mitandaoni unaweza tumia mitandao kama njia ya kuonyesha kipaji chako chochote kile na kukuza thamani yako.

Nimemwongela David pensel kwa sababu uchoraji ilikua ndoto yangu kubwa ila kipaji hicho kikamezwa na matumaini ya kuwa natakiwa kubebwa na mtu fulani au makampuni fulani, kuliko kujibeba mwenyewe , ila vijana kama David pensel walikuja kunionyesha ujinga wangu na uoga wangu ili kukuza kipaji changu.

Wapo wengi wamefanya vizuri sana kwenye vipaji vyao kukuza thamani zao , kama kina densel trainer, David pensel , zero brain , na yule jamaa wa katoro mchekeshaji wakimya kimya na wengine wengi.

Hivyo usibweteke kuukalia ufundi , wewe toka magnetoni , uoga wako ndio umaskini wako gademitt.

Note: ninakatuni za Lamomy nimezichora na ukorofi wake akiwa na wapambe wake akituzingua jf 😅akitaka nitaziweka😅😅😅

David pensel 👇View attachment 3696341
Andiko ni zuri lakini halikuwa na lengo la kumhusu David Kipenseli.

Binafsi kupitia jamiiforums nimesha compile zaidi ya mawazo 50 yanayotekelezeka hata nilipomwambia Mkurugenzi wa Jamiiforums akanipa na mwaliko wa event fulani nihidhurie.

Mleta uzi we ni Member wa muda mrefu lakini umekuwa ukileta maandiko ambayo yanakuwa na vijembe ndani yake hata lile lengo la uzi wako linapotea kabisa.

Sikushambulii ila ninakwambia kiume badilika umekuwa na mambo ya hovyo sana , sasa kama kuna madogo huwa wanakuja PM kuomba hela ina faida gani mambo ya PM kuyaandika hadharani?

Halafu kuna jambo ambalo inatakiwa ulifahamu mtu alikikufuata PM elewa kwamba amekuamini hata kama hakufahamu na ndio maana inaitwa PRIVATE, halafu kuna Members wengine humu ni wahitaji na watu wenye moyo wa kusaidia huwa wanasaidia bila kelele kama unazopiga hapa jukwaani kwa sababu uliombwa sh 2000 huko PM. Kuwa na busara na elewa mtu akikufuata PM anakuwa amekuamini.

Halafu jingine nililoiona kwenye huu uzi, kuna mambo ambayo unahusika nayo nje ya Mtandao huu na unakuwa unayeleta humu, hiyo inaķusaidia nini ? Halafu na inaonyesha kuna vita kubwa na wewe kama MWANAUME umekuwa kama chambo. Hizo tabia ni za kijinga na hazina faida yeyote, unakwama wapi ? Unakuwa na madhaifu ya kitoto sana , maana ukisoma alichokiandika Lamomy kinaonyesha there is something fishy going on. Halafu elewa kwamba kama una hizo achana nazo mzee unafeli sana, Mwanamke sio mwenzako anakutumia kupeleka mashambulizi sehemu mwisho wa siku atakudharau tu, na utakuwa huna la kumfanya na ukijitutumua ataungana na wenzake kukushambulia.

Halafu nazidi kukusisitiza achana na tabia za kusema muonekano wa Mtu, akiwa na CHONGO, MATEGE, MASHAVU, WEUSI, UFUPI etc ina faida gani kumsema negatively? Hao unaowasema wana hio mionekano wangekuwa labda Dada zako, Shangazi zako, Mama zako wadogo ungethubutu kuwasema vibaya kwa mionekano yao ?

Rudi kwenye mstari Mkuu, unaonekana MJINGA na ukiendeleza hizi mada utakuwa TAAHIRA kabisa, watu wanapokuwa sehemu moja migongano ipo lakini Wewe unaonekana umekuwa kama mtu ambaye hutaki watu fulani wafurahie kufanya kile wanachokipenda. Halafu kumbuka kuna watu humu wanafanya mambo mengi tena makubwa na wapo kimya na wanaaminika hata na Members ambao wapo nchi za Ulaya, Marekani, nje ya Tanzania pia.

Acha na magomvi ya Members wa kike maana naona upo manipulated sana na Lamomy anakuanika kabisa.

SAIDIA WATU KAMA UNA NAFASI NA UWEZO HALAFU USIJIKWEZE SANA.

Ijumaa Kareem
 
Back
Top Bottom