Kijana mwenye kipaji fanya hivi kutoboa...

Kijana mwenye kipaji fanya hivi kutoboa...

20261023_134757.jpg
 
Tulishakubaliana kwamba dunia/maisha yanahitaji wati werevu na wenye bidii yenye akili. Kinyume na hapo maisha hayasamehi mtu.
 
Mimi kipaji ilikua ni mpira wa miguu nikikanyaga ardhi... Kwenye mguu wangu wa kushoto Mungu aliweka kipaji adhimu na ADIMU SANAAA

Mguuni mwangu kulikua na kipaji cha ajabu ila Mimi siku uamini mpira wa miguuu

Nb. Do not let your talent die while you're still alive...
Safi sana
 
sasa kudadadeki huu uzi ntakesha nao mpaka nifike huko mtoa mada anapopataka
1793109133008.jpeg
 
Back
Top Bottom