Kabisa kuna mwalimu mmoja wa msingi namwona nae ana fanya maudhui na wanafunzi wake mtandaoni yule hawezi kufa njaaukweli ni kwamba Dunia ya Sasa bila talent pesa utaipata kwa tabu sana
ila unaweza ajiriwa na jioni ukaingia zako live band ukakunguta guitar ....na bado jumapili ukawaburudisha na wakristo
Sasa hizo hela za talent ni tamu maana unapata ukienjoy hata matumizi yake hayana manunguniko
Kaka min mee mungu akikujalia wewe riziki haimanishi na kwa wengine ittakua hivo mkuuSasa unakosa vipi hela ya kuweka Internet bila kikomo kwa mwezi hata kwa kubeti?
Asante kwa picha , dogo natamani nikutane nae nimsapoti kazi yake siku mojaJamaa namkubali sana ninao video zake nyingi sana.. View attachment 3696410
Mcheki instagram, si unayo?Asante kwa picha , dogo natamani nikutane nae nimsapoti kazi yake siku moja
Wewe umesjasema unataka ku sapoti mtafute instagram utumie picha, then mpe chochote kituYeah 😅 , yupo daslamu na mimi kazura mimba , siku moja nikifanikiwa kufika daslamu nitamtafuta bwashee
Maisha yalivyo yanahitaji mtu ambaye yupo proactive Sana, kinyume na hapo lazima ulie. Nakumbuka jinsi nilivyoanza maisha.Hiyo digitali mkuu inataka pesa, bando simu nk, bado si easy kaka
Form one mwishoni akaletwa mwalimu wa fine art. Nikawekeza sana huko, kuingia form three Mwishoni broo wangu akaja internship pale skonga kama mwalimu wa fizikia.Wewe kijana mwenye kipaji ,usisubiri fursa ikufuate,ndipo uonyeshe ubunifu na kipaji chako kwenye hii dunia ya kidigitali🤔
Nakupa mfano mzuri, kuna kijana mmoja maarufu mtandaoni, anaitwa David pensel , kaamua kutumia kipaji chake cha uchoraji kwa njia ya kujiongeza sana.
Yeye anatoka na vifaa vyake vya uchoraji , anatafuta sehemu kuna watu anawachora kwa siri , then anawapa zile picha bure kabisa🤔
Watu wanafurahi sana , wengine wanarudisha shukrani kwa kumpa pesa , na wengine wanafurahi na kumsifia sana , ila kwa kutazama vizuri, ni kuwa kijana huyu ameshatoboa kwa kiasi fulani kwa ubunifu wake na kujiongeza binafsi.
Ushauri wangu kwako ewe kijana , kuliko kuomba omba 2000 mitandaoni unaweza tumia mitandao kama njia ya kuonyesha kipaji chako chochote kile na kukuza thamani yako.
Nimemwongela David pensel kwa sababu uchoraji ilikua ndoto yangu kubwa ila kipaji hicho kikamezwa na matumaini ya kuwa natakiwa kubebwa na mtu fulani au makampuni fulani, kuliko kujibeba mwenyewe , ila vijana kama David pensel walikuja kunionyesha ujinga wangu na uoga wangu ili kukuza kipaji changu.
Wapo wengi wamefanya vizuri sana kwenye vipaji vyao kukuza thamani zao , kama kina densel trainer, David pensel , zero brain , na yule jamaa wa katoro mchekeshaji wakimya kimya na wengine wengi.
Hivyo usibweteke kuukalia ufundi , wewe toka magnetoni , uoga wako ndio umaskini wako gademitt.
Note: ninakatuni za Lamomy nimezichora na ukorofi wake akiwa na wapambe wake akituzingua jf 😅akitaka nitaziweka😅😅😅
David pensel 👇View attachment 3696341
Mhmm unakosea , hiyo I'd ndio kwanza naiona ,sina bifu na mtu mara nyingi ni utani tu , 😅 fikiria vizuri utamjua mashavu ni yupi🤣Kwahiyo siku zote unajificha mashavu mashavu kumbe nilikua sahihi bifu lako lilikua kwa ShesRise_1
Hapana hapo ni huyo lunya tu😅 huyo mwingine simjui 😅 young lunya sijui nilimfanya nini naona povu kama lote ,nikaona nimpumzishe ignore tu🤣Tuliokua pamoja tunakuchamba siku ile ni mimi Luna79 ambaye umemuita young lunya na ShesRise_1 ambaye umemuita mashavu na sio mara moja unamsema huyo mdada..!!
Kuna video moja alimchora mdada wa kichina hakupokea picha mzee 😂😂😂Wewe kijana mwenye kipaji ,usisubiri fursa ikufuate,ndipo uonyeshe ubunifu na kipaji chako kwenye hii dunia ya kidigitali🤔