Kijana mwenye kipaji fanya hivi kutoboa...

Ndio maana kuna vijana nawaambia kama uko vizuri kwenye eneo Fulani Yan ww Kufa maskini umetaka mwenyewe hasa dunia hii ya sasa ya kidijitali.
Kabisa, ukijua kuilenga dunia lazima upige pesa za maana
 
ukweli ni kwamba Dunia ya Sasa bila talent pesa utaipata kwa tabu sana
ila unaweza ajiriwa na jioni ukaingia zako live band ukakunguta guitar ....na bado jumapili ukawaburudisha na wakristo
Sasa hizo hela za talent ni tamu maana unapata ukienjoy hata matumizi yake hayana manunguniko
 
Kabisa kuna mwalimu mmoja wa msingi namwona nae ana fanya maudhui na wanafunzi wake mtandaoni yule hawezi kufa njaa
 
Kwahiyo umeamua kutuchora vikatuni chatungi? 😹😹
 
Yeah 😅 , yupo daslamu na mimi kazura mimba , siku moja nikifanikiwa kufika daslamu nitamtafuta bwashee
Wewe umesjasema unataka ku sapoti mtafute instagram utumie picha, then mpe chochote kitu
 
Form one mwishoni akaletwa mwalimu wa fine art. Nikawekeza sana huko, kuingia form three Mwishoni broo wangu akaja internship pale skonga kama mwalimu wa fizikia.

Nikachomolewa madarasa ya Arts na kupelekwa science kwa mbinde,

Isiwe kesi,, nikakomaa ivo ivo, Matokeo form four Fine Art nimefaulu kuliko masomo yote, lakini skani hawakunielewa,

Kinyonge chuo nikapiga kozi ya afya, Huku nikitumia miaka saba kumaliza kozi ya miaka minne 🤦🏾‍♂️.. Mwisho wa siku nimeshindwa kudumu kwenye ajira.

Nikaacha kazi. Hadi sasa nyumbani wanaamini nimelogwa.

Naendesha maisha yangu kwa harakati nyingine za sanaa,

katika kitu sitafanya makosa ni kumchagulia mwanangu kipi cha kusoma.

Maisha ni mazuri sana ukiwa unafanya kitu unachokipenda. Unakua na Energy.

Wazazi muangalie vipaji na kuwasaidia watoto kutimiza ndoto zao. Sio ndoto zenu.
 
Kwahiyo siku zote unajificha mashavu mashavu kumbe nilikua sahihi bifu lako lilikua kwa ShesRise_1
Mhmm unakosea , hiyo I'd ndio kwanza naiona ,sina bifu na mtu mara nyingi ni utani tu , 😅 fikiria vizuri utamjua mashavu ni yupi🤣
 
Tuliokua pamoja tunakuchamba siku ile ni mimi Luna79 ambaye umemuita young lunya na ShesRise_1 ambaye umemuita mashavu na sio mara moja unamsema huyo mdada..!!
Hapana hapo ni huyo lunya tu😅 huyo mwingine simjui 😅 young lunya sijui nilimfanya nini naona povu kama lote ,nikaona nimpumzishe ignore tu🤣


Karibu ndizi nyama😊
 
Kuna video moja alimchora mdada wa kichina hakupokea picha mzee 😂😂😂
 
Jamaa nina wasiwasi na uwezo wake wa kuona mtu yupo mbali unamchora na face details kabisa. Mimi mtu akiwa mita kadhaa mbele ni mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…