mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia
najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka
Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme
Kwa mtaji wako mdogo nitakupa njia na utachagua upande upi unataka ukae na kufiti
Maana kuna kuwekeza njia tofauti njia ya kwanza
kununua miti kwa mkulima na kuichanisha na kuuza kwa mabosi
Njia ya pili kununua mbao na kutafuta soko we mwenyewe mikoani hapa kidogo uwe na mtaji kuanzia milion 8 hivi
Nikiwa na maana mtaji wa kununulia, wapakiaji,vibali pamoja na usafirishaji faida yake ni nusu ya hela yako
Hiyi biashara haina mambo mengi kama maduka nk
Kama unahitaji nicheki whatsap 0743014032
Acha kuwaza njia hasi na kujikatia tamaa
Pia kama unahitaji mbao na upo mikoani au dar unaweza nitumia mimi nikakutumia mzigo popote ulipo ndani na nje kuanzia vibali na kila kitu nitashughulikia mwenyewe
Kikubwa kwa hapa mwanzoni lazima uje sehemu husika
Pia tuna kila aina ya mbao size zote idadi yoyote hata ukiitaji mbao laki sita, pia ukiitaji mabanzi,milingoti,nguzo vyote tunavyo na tunatuma popote duniani 👇👇👇.
Kama una swali lolote kuhusu uliza nitakujibu