Kijana mwenye umri wa miaka 25 amuua mama yake mzazi kwa kumpiga mwichi kichwani

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Wakuu, hivi mtu anatoa wapi ujasiri wa kumpiga kikatili mzazi wake wa kumzaa hadi kumuua kisa imani za kishirikina?
====

Jeshi la polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Mohamed Bakari mwenye umri wa 25 ambaye ni mkulima mkazi wa kijiji cha Masiku kata ya Malingula wilaya ya Masasi mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji ya Aidina Rashidi Milanzi mwenye umri wa miaka 56 ambaye ni mama yake mzazi.

Akizungumza na waandishi wa Habari hii leo ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amesema kuwa mtuhumiwa alitekeleza kitendo hicho tarehe 18,2,2025 kwa kumpiga mama yake kichwani kwa kutumia Mwichi jambo lililo msababishia majeraha na kupelekea kifo chache, ambapo kwa mujibu wa taarifa ya kamanda ni kuwa tukio hilo linahusishwa na imani za kishirikina.
 
View attachment 3268795
kijana apigwe na mwichi pia
 
Afya ya akili...

Inasikitisha sana.
 
Hiyo ni typical murder case, msiipake rangi ya uahirikina ili kuipunguzia makali
 
Wakuu, hivi mtu anatoa wapi ujasiri wa kumpiga kikatili mzazi wake wa kumzaa hadi kumuua kisa imani za kishirikina?
====

Jeshi la polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Mohamed Bakari mwenye umri wa 25 ambaye ni mkulima mkazi wa kijiji cha Masiku kata ya Malingula wilaya ya Masasi mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji ya Aidina Rashidi Milanzi mwenye umri wa miaka 56 ambaye ni mama yake mzazi.

Akizungumza na waandishi wa Habari hii leo ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amesema kuwa mtuhumiwa alitekeleza kitendo hicho tarehe 18,2,2025 kwa kumpiga mama yake kichwani kwa kutumia Mwichi jambo lililo msababishia majeraha na kupelekea kifo chache, ambapo kwa mujibu wa taarifa ya kamanda ni kuwa tukio hilo linahusishwa na imani za kishirikina.
View attachment 3268795

Ukiwa na hasira ukaingiwa na shetani unaweza famya lolote
 
Nalaumu dini.

Mtu yeyote lazima atagundua washika dini huweka umakini sana juu ya shetani na mambo ya kiovu kuliko mungu.

Ni kama vile wana nidhamu ya uoga ama ni ile asili ya binadamu ya kuvutiwa na taarifa mbaya.

Ukihesabu mara ngapi mshika dini kataja neno 'uchawi' na neno 'mungu' utashangaa.
 
Wakuu, hivi mtu anatoa wapi ujasiri wa kumpiga kikatili mzazi wake wa kumzaa hadi kumuua kisa imani za kishirikina?
====

Jeshi la polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Mohamed Bakari mwenye umri wa 25 ambaye ni mkulima mkazi wa kijiji cha Masiku kata ya Malingula wilaya ya Masasi mkoani hapa kwa tuhuma za mauaji ya Aidina Rashidi Milanzi mwenye umri wa miaka 56 ambaye ni mama yake mzazi.

Akizungumza na waandishi wa Habari hii leo ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amesema kuwa mtuhumiwa alitekeleza kitendo hicho tarehe 18,2,2025 kwa kumpiga mama yake kichwani kwa kutumia Mwichi jambo lililo msababishia majeraha na kupelekea kifo chache, ambapo kwa mujibu wa taarifa ya kamanda ni kuwa tukio hilo linahusishwa na imani za kishirikina.
View attachment 3268795
Kata ya Mlingula siyo Malingula, but sad story
 
Mchawi mwanamke unimpeded muda wa kuishi ataharibu kizazi chote
 
Back
Top Bottom