Iziwari
Member
- Jun 5, 2021
- 90
- 72
Kila mtu anapenda kufanya kitu kitakacho mpa amani na furaha. Ikiwa utapata furaha ukifanya kitu Fulani, basi hicho ndio kitu kinachokufaa sana.
Kuna watu wanapenda kupika, wengine kusoma vitabu, wengine kuimba au kuchora. Hizi zinaitwa hobbies, Mambo unayopenda sana,na siku yako haipiti bila kuyafanya na kuyamaliza.
Ila hapa tuna kijana ambae yeye amejikuta anapenda sana kutengeneza ma game. Ndio, ni kutengeneza sio kucheza tu, bali na kutengeneza game linaloweza kuchezeka.
Sawa utajiuliza ni ma game ya namna gani? Na nawezaje kuyaona magame yake. Tutafika huko na ntakupa linki.
Lakini kitu nlichogundua baada kukaa nae kwa mda mrefu. Ni kwamba anafikiria, kwa ubunifu wa hali ya juu sana. Ubunifu ambao ukicheza game lake si rahisi kuliacha, maana ni zuri na halikuchoshi.
Kijana huyu anaitwa Innocent. Kwa jina rahisi (Robert Pro) jina analolitumia online. Ni kijana mwenye uwezo wa kujifunza mwenyewe na kujiuliza maswali.
Ana kipaji cha kutengeneza Graphics na kipaji hicho kikampelekea hadi kutengeneza Games.
Ni kati ya vijana wachache sana wanaoweza Kuja na Mitazamo mipya na ya kufurahisha sana. Pale ambapo atakukuta na changamoto. Ameweza kutumia kipaji chake vizuri sana bila kukata tamaa. Na mpaka leo amesha tengeneza ma Game Zaidi ya saba na yote yapo online.
Kwanini nimesema magame ya kubeti? Na akati kuna na magame mengine?
Kwa sababu wengi wetu tunapenda kubeti, Basi Innocent hakutuacha. Na ameweza kututengenezea game linaitwa Innocent Tips.
Kila game la Innocent ni kivutio kikubwa sana kwa watanzania na watu wote wanaopenda maendeleo.
Pia kuna wanafunzi wanaosoma masomo ya IT (Information Technology). Kama mlikua na ndoto za kujifunza jinsi ya kutengeneza ma Game. Basi kijana wenu huyu apa anaiotwa Innocent au kwa ufupi Robert Pro.
Tumefika mahali sasa pa kuchangamsha siku yako.
Tutaenda kuyaona ma Game ya Innocent moja baada ya lingine.
Ameweza kutengeneza kwanzia game la Kubeti.
Draft Ya kibongo.
Na magame mengine mengi Moja wapo lilinichekesha sana, alivolitoa linaitwa (Dubwi).
Mtaenda kuliona.
Usipitwe na kazi za mtanzania mwenzetu Innocent. Maana ametutengenezea vitu vinavoendana na jinsi tunavopenda Zaidi.
Download ma Game ya Innocent na kuyaona ni bure kabisa.
Mwanafunzi wa chuo na mjasiriamali ambae anawazo lake, na angependa kazi kama izi ziendelee. tukiwa kwenye jumuia moja, karibu ujiunge kwenye group letu tuendelee kukupa kazi nyingi na nzuri Zaidi. zilizotengenezwa na watanzania wenzetu.