Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
Ni bidhaa gani hiyo
 
Naomba namba mkuu.uzamini upo kama utakuwa na wasiwasi.kuna biashara ya mazao,unapiga pesa hatari,pia ninawazo nzuri milioni 5ndani ya miezi 4unapatamilion 22 wastani was chiniwazo zuri naliomba hilo wazoo
Wazo zuri naomba unisaidia hilo wazo
 
Forex trader forex trader forex trader. Do not invest money which you can not afford to loose.
Sasa jamaa akupe iyo 5M upoteze utapata wapi ya kumlipa? Forex inalipa ndio ilankwa pesa zako mwenyewe, na wengi wenu ata haiwalipi ina wapa hasara ndo mana mnahanganika kupata funds, please take easy anza na mtaji wako ambao ukipoteza haitakugharimu chochote.

Ukiwatumia vizuri hawa prop firm ndani ya mwaka mmoja utakua mbali lakini nakushauri tumia pesa yako na sio ya kukukopa, kuazima au ya mtu mwingine
 
Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
Natamani kujua hii biashara
 
Mawazo mazuri.
 
Nina mawazo kabambe ya pesa ndefu. Sina tuu mitaji. Mimi nina kiwanda cha mawazo chanya na unique. Kila kitu kimekuwa documented na some processes zimeshaanza nimekwamia njiani. So mwenye mpunga wake anicheki chap tufanye biashara.
 
Nina mawazo kabambe ya pesa ndefu. Sina tuu mitaji. Mimi ni kiwanda cha mawazo chanya na unique. Kila kitu kimekuwa documented na some processes zimeshaanza nimekwamia njiani. So mwenye mpunga wake anicheki chap tufanye biashara.
Pesa kiasi gani?
 
Kweli?? Kumbe steshenari inalipa hivi? Maeneo gani sasa? Na miezi gani ndo kazi zinakuwa nyingi?
 
Forex n risky mkuu yaan kama mtu ana hiyo hela tu ndo anaitegemea si vizuri kumshaur kuhusu fx maana mda wowote hela inapotea

Mwl.RCT
 
Forex n risky mkuu yaan kama mtu ana hiyo hela tu ndo anaitegemea si vizuri kumshaur kuhusu fx maana mda wowote hela inapotea

Mwl.RCT
Rejea kwenye hoja ya msingi, Je unamshauri nini mleta mada!!!!!!!, wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10
 
Still bado hujatushirikisha

Rejea Hoja ya uzi ni hii | wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Je wewe binafsi una wazo gani? Tushirikishe ili tujifunze kutoka kwako, labia majora
Hoja ya msingi hapo fx tuitoea tusubiri waje wenye idea ambazo risk yake ni afadhali kulinganisha na fx
 
Aje mbinga tulime parachichi baada ya miaka 3 tunavuna
=
Najazia
=
Kilimo cha parachichi kinaweza kuwa biashara yenye faida kubwa ikiwa itafanywa kwa uangalifu na kwa njia bora. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia na faida za kilimo cha parachichi kwa kipindi cha miaka mitatu:

1. Sifa nzuri ya parachichi: Parachichi ina sifa nzuri kwa sababu ya ladha yake nzuri na lishe iliyomo. Hii inafanya kuwa na soko kubwa na inaweza kuleta faida nzuri kwa mkulima.

2. Uwezekano wa kukomaa na kuvuna haraka: Parachichi inachukua takriban miezi 18 hadi 24 kukomaa na kuiva. Hii inamaanisha kwamba mkulima anaweza kuvuna mara mbili kwa mwaka, ikimaanisha kwamba kwa kipindi cha miaka mitatu, mkulima anaweza kuvuna hadi mara sita.

3. Mahitaji ya chini ya maji: Parachichi inahitaji maji kidogo sana kuliko mazao mengine ya matunda. Kwa hiyo, mkulima anaweza kupata faida bora kwa kupunguza gharama za maji.

4. Soko kubwa: Parachichi ina soko kubwa sana katika nchi nyingi, ikiwa ni pamoja na nchi za Ulaya na Marekani. Hii inamaanisha kwamba mkulima anaweza kupata faida nzuri kwa kuuza parachichi kwa bei nzuri.

5. Uwezekano wa kutumia teknolojia ya kisasa: Teknolojia ya kisasa inaweza kuongeza uzalishaji na kupunguza gharama za uzalishaji kwa mkulima wa parachichi.

Kwa ujumla, kilimo cha parachichi kinaweza kuwa biashara yenye faida kubwa kwa mkulima kwa kipindi cha miaka mitatu ikiwa atazingatia mambo kama vile kuzalisha mazao bora, kupunguza gharama za uzalishaji, na kutumia teknolojia ya kisasa.

=
My take | Kila aina ya investment ina faida na hasara, Ni wajibu wako kufanya tafiti yakinifu, labia majora
 
Imetoka ChatGPT hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…