Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Sijajua tunakupataje ila nina mawazo mazuri ya biashara kulingana na huo mtaji, nipo Dodoma mjini.
 
Boss kama bado una search karibu nina biashara nafanya japo kwa uchache nilikuwa navizia niwekeze kwa wingi.

1. Aina ya bidhaa ni chakula(cookies)
2. Muda wa ku-expire bidhaa ni 12 months
3. Mfumo wa biashara ni mzalishaji na ni distributer kwenye maduka,then unagawana faida na mwenye duka.
4. Thamani ya bidhaa kwa end user ni Tsh.. 100

Kwa kiasi cha 2.5m faida ni wastani wa Tsh 700,000/- kwa mwezi sawa na wastani wa Tsh 23,3333......kwa siku.

Kama mtaji utakuwa mara 2 yake faida itakuwa mara mbili that is all....

5. Biashara ina unique code ya kibiashara imejificha katika ladha.... Hivyo ni ngumu kuiga ladha.

If interested DM
 
Mikataba ya kingreza hii mkumbukeni fei
 
Mikataba ya kingreza hii mkumbukeni fei
Bado wa kubet

  • Kila biashara huwa na kanuni na taratibu zake
  • Kufanikiwa au kutofanikiwa hutokana na mtu husika katika biashara husika
  • Sreenshot ni trades za leo, account size ni $50,000 toka kampuni ya MFF ( myforexfunds )
  • Waweza kuzijua kampuni zingine (Propfirms) kwenye hii docs iko google drive
Code:
https://docs.google.com/spreadsheets/d/1U0M8mZBnGMa9NQoC6o6qaYphTbM58T28_2LgDbBVfrw/edit#gid=0
Nakaribisha investor, minimum account size ni $50K, toka prop Firms, kwenye hii list hapa chini, njoo tufanye kazi.

NB: Unapokuja inbox iwe ni swala la kuanza kufanya kazi, Fanya tafiti, jiridhishe kisha wasiliana nami.
 
Kwa Tsh sawa na kiasi gani kuwekeza? Kwako.
Asante.
 
Wazo la uzi lilikuwa zuri tu lakini limeingiliwa na watu wa forex, forex haina guarantee ya investment.
Mtoa mada nakushauri mwezi huu wakulima wanavuna mpunga nenda shambani ukanunue mpunga wako utunze kwa muda, kufikia mwezi wa 12 utakuwa na faida ya kutosha.

Forex sishauri kwa mtu yeyote kwa sababu ni biashara ya pata potea, usishangae unaunguza hela zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Madalali umeshaweka kipengele chao
 
I trust in this type of busines nakuja inbo!
 
Tembea uone

Nanunua carton 450,000 within a few hours nimemaliza mzigo kwa 700,000 na hapo nauza Bei ya chini Ili mzigo utoke chapchap

Ni mwendo wa kucheza na fast moving products na wholesalers only
Hornet naomba nikutafute tafadhali!!
 
Naomba namba mkuu.uzamini upo kama utakuwa na wasiwasi.kuna biashara ya mazao,unapiga pesa hatari,pia ninawazo nzuri milioni 5ndani ya miezi 4unapatamilion 22 wastani was chini
Njoo pm tuyajenge Mkuu
 
Nina Biashara kabisa sio wazo
Nahitaji 10m ku expand growth
Biashara ni kiwanda kidogo(chenye malengo ya kukua) Cha vipodozi,

That 10m natoa equity ya 10% annually
Unakuwa member wa board
Unaruhusiwa kufatilia na kupata taarifa za biashara muda wowote utakaojiskia

Ukiwa na taaluma ya uhasibu utakula 200k Kila mwezi (hapa utakuwa una work as part-time)

Kiwanda kipo Dar
Investment iliyopo Sasa ni 20m
12m machines na vitu vingine vya ofisi na 8m working capital hiyo 8m Kuna
3m madeni nje
2m raw material na packages
3m finished products

Kuna team ya watu sita
2. Founders
2. Sales
1. Production
1. Huyu Kama attendants

Outsourced
1. Accountant anakuja kwa wiki Mara moja
 
You got be serious, huwezi fanya project EastAfrica au Tanzaia nzima kwa 10m na ukakuletea profit unayoiclaim. Unless hujui unachokiongea regardless in aina gani ya project.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…