Hii nzuri mkuu asante kwa kuongeza hints.Usisahau pia kuwashauri kufikiri kama hicho chombo kitakua
1. Asset?(something that puts money in your pockets)
Au
2. Liability?(something that take away money from your pocket)
Au
Wamiliki tu just for impression?? Au kuna some kind of cashflow will be created au atleast haita athiri their current cashflow
Ningekuelewa ungeshauri vijana wa umri huo wawekeze kwenye ardhi na sio kukimbilia kwenye magari..Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu.
Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
Sahihi sana mzeeeVijana hakikisha Una Mali (assets), hata ukiwa unatembea Kwa miguu lakini hakikisha Una cha kushika Kwanza yaani Mali (assets), iwe ni kiwanja, shamba, nyumba, cash nyingi nk. Kila siku lazima uwaze kuongeza Mali...Kwanza uwe na cha kushika sio kutumia.
Ila pia. Kuchukua tahadhari sababu chombo chochote cha moto kinaweza kugeuka kuwa adui na kukatisha malengo fasta...Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu.
Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
Wazo zuri sanaaSawa mkuu
Inategemea na mishe unazofanya mkuuUmthamini mtu kisa ana chombo cha usafiri???!!! Hii ni poverty mentality.
Msikimbilie kuwa na vyombo vya usafiri huku mafuta yakipanda shilingi 20 tu mnalalamika mwezi mzima.
Msijipe presha zisizo na msingi
Mishe gani hizo ukiwa unamiliki chombo cha usafiri zinakuongezea thamani usipomiliki zinakushushia thamani??Inategemea na mishe unazofanya mkuu
Baiskeli -tunafanya mazoezi
Mfano wa haraka mfanyabiashara wa kuku,, wa nyama au mayai.. ni rahisi sana kuteka soko la wateja sababu unamfikia kwa muda sahihiMishe gani hizo ukiwa unamiliki chombo cha usafiri zinakuongezea thamani usipomiliki zinakushushia thamani??
Uko sahihi mkuuMbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu.
Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k